Arusha ntarudi...

Arusha ntarudi...

Unajua tatizo Jiwe Linaloishi anapenda maeneo ya bugaluu, pinpoint na impala.................. huko zile pombe zetu hatuwezi kuzinunu bana. labda Big L

hapana mkuu impala ndio napofikia lakini kugonga ndovu nagongea viwanja vya kawaida tu kama wewe mkuu usihofu tuko pamoja mkuu
 
Owkey!!!!!! kama ni huko sawa kiongozi.................... mimi bado namendea za groceries .................. nikikua nitakuwa bugaluu, impala na kazalika............... huko wanaingia Arushaone kutoka Tanzanite one, Filipo kutoka tanroads, Mzee wa Rula BOT, sweetlady TRA, Erickb52 kutoka Symbion



Afu Mungi yanini kusema profesheno zawatu humu??

Tukikukamata...............!
 
Last edited by a moderator:
Bora lov uwe na mashaka na huo ushahidi! Nami nina mashaka na hizi safari zake za Arusha kila leo!


haaaa!!!!yani tuwe wazima
hata ndoa ikifa haina shida au? nina mashaka na ushahidi utakaokuja nao!
 
Back
Top Bottom