Arusha ntarudi...

Arusha ntarudi...

Mungi FYI taarifa za ki-intelijensia ni kuwa Lily Flower alishakumwaga na yuko kwa Asprin anakaguliwa!
Lily Flower hawezi kunimwaga........................... Asprin ni Droctor................ ukimkuta yupo naye ujue kaenda kwa matibabu tu..................... akirudi anakuja na dozi za asprin anameza 2 x 3 kwa siku, afu zingine anapewa mi namsukumizia ili apone vizuri
 
Last edited by a moderator:
Arushaone, hebu nipe siri ya huo mjumuiko amabo jiwe linaloishi ana uaprishieti.

Kesho ntakuwa huko mjini kwenu kwa muda wa siku 15.
 
Back
Top Bottom