Arusha na watu wake wote hovyo

Arusha na watu wake wote hovyo

Status
Not open for further replies.
..

Ndani ya Chuga...

....wadau wa
the picnic.... jumamosi ijayo tunafunga mwaka mubia kwa wingi.... totosi territories za kumwaga.. sebene za kutosha... ukiwa na kiu mto uko karibu jihadhali na mamba tu !!!!
 
Arusha is so lovely. Decent smart people who know how to make money and have fun. Yaani hata sijui nisemeje. Nasubiri tu ku relocate Arusha.

As for you mtoa mada, nikupe pole tu.

.....Mimi GPS yangu inasoma Arusha tuu!!!
 
m 23 Umevurugwa dogo.
 
Last edited by a moderator:
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Madhara ya Jogoo za asubuhi asubuhi haya.
 
kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba ntwara ni zaid ya arusha co

Sina mtazamo huo mkuu lakini huu mji ulivyokuwa unarushwa hewani na nilivyoukuta sikutegemea yaani
 
Mnamdharau mtoa mada lakini vitu alivyovisema vina ukweli na hali halisi ya kule, bt its ok coz kila mtu na life lake na sehemu yake, so carry on machalii
 
Mnamdharau mtoa mada lakini vitu alivyovisema vina ukweli na hali halisi ya kule, bt its ok coz kila mtu na life lake na sehemu yake, so carry on machalii
yeah, mtoa mada yupo sahihi kabisa amesema vitu vya ukweli kabisa...
 
Hahahaaaa kila mtu hukutana na vitu vya hadhi yake!kama hadhi yako ni uchafu hata utakapokua unaenda utakutana na uchafu....
 
Dah aisee nimekaa Arusha ila kyna vitu vingi nimeviona vya ajabu sana! Mji maeneo mengi ni mchafu sehemu kubwa, nimeshangaa unavyopigiwa chapuo, sijaukubali kabisa, mitaa mingi ipo kiswazi mbaya, Unga Limited, Sombetini, Ngusero, Morombo, Ngarunero-eti wanaita kwa wajanja, Kisongo balaa yaani maeneo mengi yapo hovyo sana! Mji una vumbi baya sijawahi ona tangu nzaliwe bali Arusha! ! Machalii wake wengi naona ni wastaraabu labda kwakuwa sijaingia anga zao, kwa sasa narudi zangu Mtwara ila sidhani kama nitarudi Arusha! Sijapapenda kwakweli hata kama nikilipwa mshahara wa haja
Sasa unataka kufananisha mtwara na arusha jamani, haya sema ni sehemu ipi ya mtwara unaweza fananisha na sehemu ipi ya arusha?
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Hata Dar kama utafikia manzese na kushinda manzese ni lazima utasema Dar ni hovyo. Hapa umejiweka uchi wewe ni wa type ipi.
 
Hahahaaaa kila mtu hukutana na vitu vya hadhi yake!kama hadhi yako ni uchafu hata utakapokua unaenda utakutana na uchafu....

Mimi baba yangu yupo unga ltd. Sijayapenda mazingira yake, lkn wala hapajanishughulisha. Nineenda nimekaa kwa siku kadhaa.

Sasa namshangaa huyu mtoa mada utasema kavurugwa labda. Si bure
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Tutake Radhii!!!
 
Dah aisee nimekaa Arusha ila kyna vitu vingi nimeviona vya ajabu sana! Mji maeneo mengi ni mchafu sehemu kubwa, nimeshangaa unavyopigiwa chapuo, sijaukubali kabisa, mitaa mingi ipo kiswazi mbaya, Unga Limited, Sombetini, Ngusero, Morombo, Ngarunero-eti wanaita kwa wajanja, Kisongo balaa yaani maeneo mengi yapo hovyo sana!
Mji una vumbi baya sijawahi ona tangu nzaliwe bali Arusha! ! Machalii wake wengi naona ni wastaraabu labda kwakuwa sijaingia anga zao, kwa sasa narudi zangu Mtwara ila sidhani kama nitarudi Arusha! Sijapapenda kwakweli hata kama nikilipwa mshahara wa haja
inaonyesha kuwa bado hujatembea vya kutosha mkuu,kama hapo unaposema kuwa arusha kuna vumbi hujawahi kuona watu watakushangaa sana,kwanza arusha kuna miti sana,.pia ni kati ya mikoa inayopata mvua za kutosha,arusha kuna misitu na milima,sijui unataka kupalinganisha na wapi?singida? huelewi kuwa sehemu zisizo na mvua za kutosha na miti ndizo huwa na vumbi jingi?kuhusu mitaa unayoita ya kiswazi sidhani hata kama unga ltd itaifikia kwa nusu mtaa kama manzese au kibera, labda kuhusu uchsfu nikuulize tu ndugu yangu unajua mkoa unaoongoza kwa kipindupindu tanzania hii?ns je unajua chanzo cha kipindupindu? sasa kama umezaliwa mkoa wa pwani mf-halafu mkoa wa kwanza kufika ikawa ni arusha,na wewe ulifikiri arusha ni ksma new york basi una haki kubwabwaja,ila kwa waliotembeatembea mikoani wanaweza kukudadavulia kwa usahihi ubovu na ubora wa arusha.
 
Tuseme unalinganuisha na Dar inayonuka hadi Ikulu?Nyani haoni kundule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom