Arusha na watu wake wote hovyo

Status
Not open for further replies.
Naupenda mji wangu kwa sababu hawapapatikii mtu, wanapenda mabadiliko especially positive changes, wanajua kuisaka noti, na sio wavivu linapokuja suala la kusaka maisha mazuri bila kujidhalilisha (kupigwa risasi ukisaka hela makes you a real man than kusaka good life kwa kuliwa kabaang!!) Ni mtazamo wangu tu wadau!!!
 
Halafu wewe m23 tabia zako za kukashfu wenzio uache,tatizo lako uccm ndo umekufanya uwe punguani,ulifanya lini research ya arusha wewe? Au bora tu umeandika?
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!
Kirahisi rahisi tu unatutukana? Kulikoni?
 
naomba mtu aweke japo picha ya mtwara,lindi kigoma pwani au pengine popote ukiitoa mwanza,mimi naweka hii-
 
Attachments

  • 1387358147136.jpg
    1387358147136.jpg
    81.5 KB · Views: 95
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

sio bure utakuwa umechanganyikiwa n'a wale vijana wa mwamunyange waliokukimbiza kule Goma
 
Kwani huko si ndo kwenye mabilionea kibao?

upuuzi mtupu!ma mbulula kibao ila wajuvi kweli kweli!ubabe wa kishamba na usela mavi!

siupendi mji ule hata kidogo!

nb;viwanja vichache vikali,ni vikali kweli........ila sifa zimeizidi Arachuga,hazifanani nayo hata chembe!
ila totoz tamu tamu kupigia picha..........!
 
Ulipokuja Ar wamekusukutua nini?. Mbona unangaka namna hiyo?.

Mkuu hujakosea huyu atakuwa aliopoa jimama la Arusha facebook akalifata Arusha akidhani ni bilionnaire la mererani litamtoa kimaisha kumbe kazi na dawa chezea Arusha ww tunaiweza wenyewe ukome huku hakuna kuchuna
 
naishi dar, lakini ninapokwenda arusha hakuna sehemu bora hapa tz zaidi ya arusha, dar kuna nuka
 
Kiukweli nilivyokuwa naisikia Arusha na nilivyofika ile picha niliyokuwa nayo kichwani kutokana na kusikia jiji hilo na sifa zake haikwendana kabisa. Nipa kaaida sana, Kilichopo ni uwepo wa watu wa mataifa mbalimali, Watalii wa mbuga na Mlima kilimanjaro tu. Lakini kwa mjini ni kawaida sana!
 
Kumbe Mlima Kilimanjaro siku hizi upo Arusha??? Geography itakua ulipata A!!
 
Mtalalama ila Arusha itabaki kupanda chart...poleni sana na karibuni sana Arusha!
 
Pole sana Vmark, ungesoma vizuri kwa nukta ungeelewa, sijasema mlima Kilimanjaro upo Arusha, nimeongelea watu mbalimbali walio Arusha. Nika lenga watalii, Je, mbuga zipo mjini? Mbona hujauliza hilo? Usikurupuke!

Kumbe Mlima Kilimanjaro siku hizi upo Arusha??? Geography itakua ulipata A!!
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Ahsante; lakini si kama Dar, maana ni ya 11 kwa uhovyo duniani. Maana yake Tz ni 11 kwa uhovyo duniani
 
Ukiona mtu hasifiikwao ujue ni mbulula!arushajuuuuuuuu kujiamini banda hata kama huna hata kumi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom