Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

ni wakati sasa wa chama kuwacha mawazo ya kihafidhina na kuwa tayar kukubal kutokukubaliana
 
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!

Msalani at work now!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbavu zangu Kamanda

Mi Roo Inauma Sana Kwa Mabarubaru Kushikiwa Akili Na Kichaa Yani Mnatumia Kichwa Cha Lema Kufikili Mapenzi Yako Kwa Lema Yamezid Kiasi Kwama Hata Umkute Kitandani Kwa Mama Yako Humwambii Hata Babako
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ametaja mambo kadhaa aliyofanya katika kipindi cha ubunge wake.

Akizungumza na Sunrise Radio leo Lema ameyataja mambo hayo kwa uchache kuwa ni pamoja na kwamba Kiwanda cha General tyer kilitaka kuzwa amekizuia pia mbunge huyo amerudisha kiwanja cha hospitali njiro kilichouzwa.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu Chadema amesema pia anatarajia ambulance kuingia Arusha mwezi wa nne.

Pia Lema akishirikiana na madiwani wa Chadema Arusha waneweza kuwekwa lami mpaka vichechoroni ikiwa ni pamoja na mapato ya halmashauri ya jiji la Arusha kupanda maradufu ikilinganishwa na kipindi alichoingia madarakani.
Bila kusahau Hivi Punde litatoka Gazeti la Mbunge

By-Mwanahabari Huru:
"Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ametaja mambo kadhaa aliyofanya katika kipindi cha ubunge wake.

Akizungumza na Sunrise Radio leo Lema ameyataja mambo hayo kwa uchache kuwa ni pamoja na kwamba Kiwanda cha General tyer kilitaka kuzwa amekizuia pia mbunge huyo amerudisha kiwanja cha hospitali njiro kilichouzwa.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu Chadema amesema pia anatarajia ambulance kuingia Arusha mwezi wa nne.

Pia Lema akishirikiana na madiwani wa Chadema Arusha waneweza kuwekwa lami mpaka vichechoroni ikiwa ni pamoja na mapato ya halmashauri ya jiji la Arusha kupanda maradufu ikilinganishwa na kipindi alichoingia madarakani.
Bila kusahau Hivi Punde litatoka Gazeti la Mbunge"
We Twambie Lema Kafanya Nini Arusha? Kama Huna Hoja Kaa Kimya Kwani ID Yako Inakifedhehesha Chama
 
ritz1 aka malaria sugu moshi ndio wanaongoza kwa kunywa viroba vingi
 
1. Kazuia General Tyre Isiuzwe Twambie Kwa Sasa Wanazalisha Tan Ngapi Za Tair Kusingekuwa Na Mpango Wa Kuuza Kiwanda Hicho Angefanya Nini?
2.Kaludisha Kiwanja Cha Hospital Alimpeleka Nan Mahakamani Aliehusika Na Wizi Huo Au Kwakuwa Alonunua Ni Kaka Yake Wamekaa Kifamilia Wakakirudisha?

Hayo Ya Bajet Ya Jiji Wala Si Yake Ni Mambo Ya Mea Na Mkurugenzi Barabara Ni Mpango Wa Kitaifa Kuboresha Jiji
 
Mbunge gani kafanya mazuri ARUSHA ....?
Anza na Nsilo Swai,Ole Saibul,Afande Mbagga wa Magereza,Mh.Kinana,Mrema,na sasa Lema.
 
Mbunge gani kafanya mazuri ARUSHA ....?
Anza na Nsilo Swai,Ole Saibul,Afande Mbagga wa Magereza,Mh.Kinana,Mrema,na sasa Lema.

Mkuu Hivi Unajua Wakati Lema Anatutia Hasira Kwamorombo Wanachotea Maji Fidfos Na Wana Mabomba Nyumbani Na Wanayalipia
 
Hebu tuambie wewe alichokifanya lema, usimshambulie mtu kwa matusi tu...
 
Mkuu Hivi Unajua Wakati Lema Anatutia Hasira Kwamorombo Wanachotea Maji Fidfos Na Wana Mabomba Nyumbani Na Wanayalipia

Tatizo la maji TZ yote liko kisiasa kwa manufaa ya walio madarakani.Wanajuwa MAJI ni uhai ndio maana wanatumia silaha hiyo.Nenda extra mile pande zote ....anza ni kwa nini kifungu cha kuwawajibisha wabunge kiliondolewa.....???pili..ubungo kuna chuo cha maji na kuna shida ya maji.
 
Visima Vina Maji Meng Tatizo Miundombinu Na Fedha Hakuna
 
Back
Top Bottom