- Thread starter
- #41
Ethina mburi Hijja Madava tutakuweka wewe
Ni Heri Mimi Kuliko Huyu Mwehu Wa Machame
Last edited by a moderator:
Ethina mburi Hijja Madava tutakuweka wewe
Ni Heri Mimi Kuliko Huyu Mwehu Wa Machame
Utaendelea kuwa chini ya usimamizi wa chadema na Lema mpaka kiama!
Si ndiyo, tutaweka mwehu wa uthangi
Shida ni fisi ndiyo zitakuangusha.
Kama huwezi hama mji.
Ni Heri Mimi Kuliko Huyu Mwehu Wa Machame
Amia kwa wasariti wenzako wa ACT
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Nakukubali Mkuu Kuwa Ccm No Arusha Ila Kamanda Lema Sio Levo Ya Mbunge Tumtakaye
Bananga Sio Levo Yangu Mbona
chukua fomu upambane naye uivune aibu, Lema kiboko ya magamba Arusha
Jipange upya mwache Lema km umemchoka hamia kwa zzk. Uwezo wa kufikiri mdogo au wewe ni gamba tu unatuinjoi na escrow zenu.
Siyo wanachama mafisi kama weweCHADEMA Si Mali Ya Lema Wala Mbowe Hata Mtei Bali Ni Mali Ya Watanzania Haswa Sie Wanachama
Yako inakupa kwa Wamongo nachama cha mafisi?Mkuu Emanuel Urassa , ID yako tu inakupa uanachama wa CHADEMA hata kama huna kadi!
We ni mtoto wa nyumbani kabisa!
Mleta mada ana akili kama za mama yake!!
Nilishaweka Thread Hapa alichofanya na anachotegemea kufanya wacha upotoshajisasa hivi ni asubuhi bado ujatupia kijogoo hebu nipe vipaumbele vitatu ambavyo lema ameshughulika navyo miaka mitano ya ubunge wake ukishindwa kula kijogoo kisha unitus