Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Unawataka wale Vilaza Wenzako?Nakukubali Mkuu Kuwa Ccm No Arusha Ila Kamanda Lema Sio Levo Ya Mbunge Tumtakaye
Unawataka wale Vilaza Wenzako?Nakukubali Mkuu Kuwa Ccm No Arusha Ila Kamanda Lema Sio Levo Ya Mbunge Tumtakaye
Huyo lema si kitu tena ahamie kwa olesendeka
Kama Kamanda Bananga alikutoa jasho ndio utaweza ya Lema? ACT wanakusubiriaCHADEMA Tuna Dhamira Ya Kweli Ya Mabadiliko Sanjari Na Maendele Na Arusha Iwe Mfano Kitaifa Lakini Kwa Huyu Msema Ovyo Lema Tutakwama Sana Lema Pisha Wenye Uwezo Waende Dom
Umeishajiuliza kwa nini viwanda vya viroba cha jogoo na banana vipo Arusha.Kama Hicho Ulichojipinda nacho hapo kwenye kona? Usipotumia hicho kitu kiwanda kitakosa mapato mengi sana maana ndio kinywaji chako nakujua sana
Umeishajiuliza kwa nini viwanda vya viroba cha jogoo na banana vipo Arusha.
Kama Kamanda Bananga alikutoa jasho ndio utaweza ya Lema? ACT wanakusubiria
Nakukubali Mkuu Kuwa Ccm No Arusha Ila Kamanda Lema Sio Levo Ya Mbunge Tumtakaye
tulikuambia tangu mwanzo kwamba Mwigamba atakudhulumu , umeamini maneno yetu ?CHADEMA Tuna Dhamira Ya Kweli Ya Mabadiliko Sanjari Na Maendele Na Arusha Iwe Mfano Kitaifa Lakini Kwa Huyu Msema Ovyo Lema Tutakwama Sana Lema Pisha Wenye Uwezo Waende Dom
Act kwa maendeleo
Act kwa maendeleo
Ipo kazi Ila madava wewe si ulihamia ccm
mwaka huu wana arusha macho yote kwa lowasa...ndo dream presdent...uongo jamaaan..!!!
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli
Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu
Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.
Act kwa maendeleo