Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

Pamoja na wingi wa posts lakini hi dhana ha uccm na u-ukawa itatukula sana.....Maana hata Kama kitu ni kimeo linapata nafasi eti Kwa Kuwa tu ni mlengo unaofanana.....si kweli Kuwa ukawa pipo ama ccm ama act woooote ni Poa.....kuna Vimeo kibao na makada Mnajua unwell
 
Pamoja na wingi wa posts lakini hi dhana ha uccm na u-ukawa itatukula sana.....Maana hata Kama kitu ni kimeo linapata nafasi eti Kwa Kuwa tu ni mlengo unaofanana.....si kweli Kuwa ukawa pipo ama ccm ama act woooote ni Poa.....kuna Vimeo kibao na makada Mnajua!
 
Chademakwanza,
Point of correction Pls siyo tyer ni tyre.

Pia sijaona Lema nini amekufanya hapo Arusha let's be sincere and open kweli miaka mitano kukomboa kiwanda hata kazi hakijaanza kweli inatosha kwa miaka mitano?

Lema hujafanya chochote kwa kweli hata mbunge Wangu wa Iramba Magharibi Mh Mwigulu kafanya mengi sana mfano vijijini umeme vijiji 46 Sasa vikikamilika 89% Ya Iramba itakuwa na umeme, vituo vya afya 4, zahanati 9, barabara Sasa kila corner Ya Iramba inapitika, maji vijiji 13, CHF ndio kinara Iramba, food security 100%, ufaulu umeongezeka primary na secondary, Sasa sekondari inahitajika walimu 120 tu Kati Ya hao 74 wa Sayansi kumaliza tatizo la walimu kabisa.

Viwanda vidogovidogo 53 vya kukamua Alizeti vipo kila kijiji na tayari vimeanza kazi na vi kubwa viwili vya Ndago na Ulemo ambayo jumla Ya vijana 600 wataajiriwa.

Hayo ndio mambo Ya kuwaambia wananchi siyo ambulance tena Ya kufikirika kweli? Mwigulu katoa ambulance 2 na kazi zinafanya Sasa! Acha USANII Lema kama huwezi siasa kaa mbali na kamwe usidanganye watu maana mwisho wa siku watajua na watakuchukia milele

Huu ni upumbavu mkubwa hivi wewe umewahifuatilia matokeo ya kidato cha 4 kwa miaka 3 ya hivi karibuni ni aibu tupu danganya wasio jua iramba kama kuna kuna mtu ameturudisha nyuma kimaendeleo basi ni huyo unaemsifia.Iramba tunahitaji mbunge mwingine atakae tumikia wananchi sio kutumikia chama muda wote.Jitathmin unapotaka kudanganya watu humu.
 
sisi wahuni ndo tuliomchagua,na bdo wahuni na masela tutamchagua,wew ulietoka tarime hujui arusha mjini! ,unaemwita mhuni
1.kakunyang'anya diwan kata yko ya sombetin
2.alkupga 4-0 uchaguz wa marudio madiwan
3,amekuzd idadi ya madiwan na wajumbe wa halmashauri
4.kawatetea wanyonge hasa kina mama wanaofukuzwa na migambo yenu wasichome mahindi kujtaftia hata ela ya matumiz,mlikuwa mkiwapga na kuwanyang'anya v2 vyao,leo wanamheshm lema kwa kuwapa ujasiri,
5.mapato ya halmashaur yameongezka,mlikuw mkiiba,lema na madiwan wake wamewadhbiti
6.hosp hasa levolosi huduma saf
kwa maelezo hayo we gamba, ccm mmetawala miaka 50, arusha mmefanya nn cha maana?
olemedeye mb wnu arumer kafanya nn?
 
mwigulu hajafanya chochote iramba acha kudanganya uma wew,alchokfanya mwigulu ni kugawa pesa jmbon na kulazmshia watu ughaid,na matuc tu' hakn alchofanya yule
 
halaf unasema makongoro mhuni, vp mbn leo mhun ni mbunge wenu? na mnamtaka agombee urais?
 
acheni fikra finyu kifikilia kuwa chadema inaingia magogoni, kwanini siyo cuf au nccr? maana mko kwenye muungano unaitwa ukawa, sasa umejuaje kama chadema ndo wataingia kuwakilisha vyama vingine? chadema MNA ubinasi sana
 
Watu wanaoitakia mema nchi hii wanafikiria jinsi ya kuitoa CCM madarakani, sio kupunguza nguvu za CDM.
 
cjapotoka! nasimamia ninachokiamin' miaka 50 ya uhuru mbn tz ni maskn? ccm mmelfanyia nn hli taifa?
 
kevin hyo mjinga kaleta mada inayomponda only lema na si wabunge wote! kumbuka kaitaja chadema na lema,soma title! utazungumziaje nccr au cuf wakat mada haijataja hvo! hkna ubinafs hapa na ukawa ipo imara
 
lema gemu ni ngumu i.r.p diwani wangu MAWAZO
 
Lazima Ujue Hatuwezi Tukawa Na Wabunge Wa Aina Moja Bungeni Hilo Litakuwa Sio Bunge, Wabunge Wa Chadema Ni Sawa Na Viungo Vya Mwili Wa Binadam Kila Kiuongo Kinafanya Kazi, Mtu Akikosa Kimoja Tunamwita Kilema, Kwa Hawezi Akafanya Kazi Kwa Ufanisi, Mbeya Sugu Walimwita Mhuni Lakini Ndie Mbunge Aliepata Kura Nyingi Kuliko Wabunge Wote Wa Chadema Akiwemo Na Huyo Tundulisu, Aisee Tunduma Tunataka Wabunge Aina Hiyo Ambao Mda Wote Wanawakia Kwenye Gia, Tukisema Tuingie Barabarani Yeye Mda Mrefu Alishafika
 
Back
Top Bottom