Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

Kama Hicho Ulichojipinda nacho hapo kwenye kona? Usipotumia hicho kitu kiwanda kitakosa mapato mengi sana maana ndio kinywaji chako nakujua sana

mkuu jibu hoja
lema anafaaa au hafai mbona hampendi viongozi wenu kukosolewa HAKUNA DEMOKRASIA YA NAMNA HIYO
lazima wananchi watoe maoni yao kuhusu anaewawakilisha
YAANI CHADEMA UKIWA NA MTAZAMO TOFAUTI WEWE NI MSALITI YAANI VIONGOZI WAOGOPEKE NA WANANCHI??
 
Hujui lema alichofanya na akili zako ziko finyu mno kias kwamba kama unalelewa na mke wk utaendeshwa sn na utakuwa umeolewa ww yaan hunaupeo wa kufikir bal kutumia akil.za watu,
Ila siwez kukulaum sn ndo akil zako zilipofikia hapo, ujasir wa mikoa mingine na kuhitaj mabadiliko yametokana na lema na ukomboz wa kwl utaanzia Arusha pia uchaguz zinapotokea huwa wanaangalia wanaarusha watafanya nn tz nzima.

mkuu kwa kuwa hapa ni jukwaa linalikusanya watu kutoka maeneo mengi badala ya kuhemka embu tuelezee lema kafanya nini Arusha na anastahili kubaki ili Kumpinga mtoa mada
 
Hoja zinajibiwa kwenye vikao halali soma Katiba na kuhusu lema alichokifanya nilishapandisha Thread hapa Lema anafa sana kwa Arusha na ninawapongeza watu wa Arusha kwa kuwa na Mbunge Shupavu sana

Chadema Kwanza
 
Tafuta Hiyo Thread nilishaweka hapa usiwe mvivu wa Kuchambua

Chadema Kwanza
 
Hujui lema alichofanya na akili zako ziko finyu mno kias kwamba kama unalelewa na mke wk utaendeshwa sn na utakuwa umeolewa ww yaan hunaupeo wa kufikir bal kutumia akil.za watu,
Ila siwez kukulaum sn ndo akil zako zilipofikia hapo, ujasir wa mikoa mingine na kuhitaj mabadiliko yametokana na lema na ukomboz wa kwl utaanzia Arusha pia uchaguz zinapotokea huwa wanaangalia wanaarusha watafanya nn tz nzima.

Mambo ya mkewake yanaingiaje kwenye mada hii, kupanic mapema ni ishara ya kutokuwa na uwezo wa kumjibu mtu.
 
Hoja zinajibiwa kwenye vikao halali soma Katiba na kuhusu lema alichokifanya nilishapandisha Thread hapa Lema anafa sana kwa Arusha na ninawapongeza watu wa Arusha kwa kuwa na Mbunge Shupavu sana

Chadema Kwanza

kwa mfano mwananchi anaetaka kuijua chadema ajiunge nayo utamwambia nenda kasome katiba???lazima umpe ABC
pili kama hayo ulishayaandika kwa nini usiseme mtoa mada majibu yako yako hapa ukatoa link kama baadhi ya nyuzi zingine
HUKUA NA HAJA YA KUHEMKA NA KUTOA KASHFA
wewe kama cdm unadhibitisha kwamba hakuna hoja itokayo mpaka utangulize matusi
siasa sio chuki...toa hoja hiyo yatosha kueleweka vyema
 
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli

Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu

Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.

Lema anawanyima usingizi punda nyie
 
Wewe mjinga siulirudi ccm wakati wa chaguz ndogo za udiwani wa Bananga msalit mkubwa wewe unakaa sombetini kwa mke wako tafuta kwako ndio uweze kutuchagulia kiongo sio unafugwa kwa wakwe kijinga ndio maana unapigagwa vibao hatharani bweegee wewe
 
Tafuta Hiyo Thread nilishaweka hapa usiwe mvivu wa Kuchambua

Chadema Kwanza

nipe link acha dharau hiyo ni kwenda hadi kwa mtoa mada lakini pia unaweza ukatoa ABC hapa

alafu kama hutaki kujibu hoja ya uzi huu hapa unafanya nini???
alafu kingine kwenye hiyoncoment yako ya chini umesema hoja zinajibiwa kwenye kikao HAPA UNAJIBU NINI,NA HUO UZI MWINGINE ULIANDIKA YA NINI?
acheni ubabe na mihemko isiyo na mahana chedema haisaidii lolote hiyo ni reflection ya viongozi wenu wakubwa ni wababe na wanabana demokrasia na usawa
hivyo? mtoa mada yupo sahihi kama wanachama wake ndo hivyo viongozi wake wakoje?
 
iweke apa tukuumbue halafu we chalii nshakwambia siasa we uwezi kuwa tayari tukufunze

Wee Madava siasa unajulia wap kwenye kura za maoni ulipata ngap? Huna lolote tengeneza kwanza maisha ya familia yako ndio iweze kumseme Mh Mbunge wetu acha siasa njaa
 
Last edited by a moderator:
sasa hivi ni asubuhi bado ujatupia kijogoo hebu nipe vipaumbele vitatu ambavyo lema ameshughulika navyo miaka mitano ya ubunge wake ukishindwa kula kijogoo kisha unitus

Kipaumbele cha kwanza ametupa ujasiri wa kujibizana na maccm maana mlijiona miungu msiohojiwa na yeyote mammbwa nyie shetani wezi
 
Wewe mjinga siulirudi ccm wakati wa chaguz ndogo za udiwani wa Bananga msalit mkubwa wewe unakaa sombetini kwa mke wako tafuta kwako ndio uweze kutuchagulia kiongo sio unafugwa kwa wakwe kijinga ndio maana unapigagwa vibao hatharani bweegee wewe

bananga ndo nani
 
Kipaumbele cha kwanza ametupa ujasiri wa kujibizana na maccm maana mlijiona miungu msiohojiwa na yeyote mammbwa nyie shetani wezi

mkuu asante kwa tusi ila umenifurahisha sana niliwahi kuhudhuria mkutano wa cdm pale mwanza lema akawaambia wasukuma wale kuwa anataka kuwatia hasira na akajitapa kuwa yeye amefanikiwa sana kuwatia wana wa arusha hasira.
 
Uzi huu utashangiliwa sana na wanywa viroba wa Lumumba plus mamluki wao Association of Criminals in Tanzania... Arusha Lema ni Rais ... kama ilivyo Mbeya Rais ni Sugu ...

Wenzio wanaona mbali sana,
 
Back
Top Bottom