Kura si zimeshapigwa?
mimi sijaelewa vizuri.
Hii kauli kama kaitoa inatosha kuingiza Arusha kwenye Mgogoro.
Ninaamini hii sio kauli sio ya kutoa baada ya uchaguzi, ingetoka kabla ya Uchaguzi ningemuelewa.
Lowasa we are coming for you!! Kule bungeni hawapo kina Malisela tena, sasa hivi ni kina mnyika, Mdee, Selasini, Mpendazoe, Sugu a.k.a Mr.II, Rev Msigwa, Mbowe, Zitto,Thomas Nyimbo,Ndesamburo,Lema, Kafulila ......etc