ARUSHA: Miaka 5 ijayo nahisi watakuwa na Lugha yao!

yechu yechu dingii,lichuga tunabofonga maslang yetu,hao mashori wa dar wakituletea lomoni ,tunawapa mabam bam, majabal na mabeto alaf tunawadownload mamanegram .haina noma arif mim nakula fasi ya coment g g ya. Limoro
Haina KABAYA baba la baba.
 
Umenidekereee arifu! Unatimba zako ndichi huko fyade unakuta mambo yechu yechu unatiririka mwendo wa ngiri ukifika maniaje unaprinti moko moko huku unapambania ela yote! Aikatai aikatox
 
Ivo madingii kama nawadere mnavopambana ya ela yote chuga amnaga lomoni ni uwezi wakuta wamekaa kiree road ni fuluh kupambana 24/7
 
Umenidekereee arifu! Unatimba zako ndichi huko fyade unakuta mambo yechu yechu unatiririka mwendo wa ngiri ukifika maniaje unaprinti moko moko huku unapambania ela yote! Aikatai aikatox
ha ha haaaaaa
 
Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
Mina ally amekunyima nini mkuu..kuwa tu mkweli??
 
Mina ally amekunyima nini mkuu..kuwa tu mkweli??
Sasa yule famba nitake nin kwake mkuu...huyo si dume jike..ila anafaa kwa fani yake make dunia inahtaj watu kama hao waiburudishe...ila tukija kwenye personal issue hasa kwenye mahusiano...atasota sana yule...ila mnavimbisha kichwa
 
Mbona mpk sasa tayari Chugga wana sleng yao na huipati popote pale zaidi ya Chuggaa kwa akina chaliiii yangu niajeeeeeee
Lugha ya chuga;
Hapiii=Happy
Giloo = Glory
Estaaa =Ester
Babaaa =baba
mamaa=mama
jombaaa =mjomba
morombooo =mrombo
mchagaa = mchaga
 
Mapasfenga yameskiliduu na moki ya moko nianze mapaniano

mapafu yanahamu yanahitaji sigara angalau moja yaanze kazi
 
Back
Top Bottom