Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
wee nawe unaboa!?? Aaagh, kwenda hukoMimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
Aaah waaapiii nani agome goma mwenyewe bana hapa kila mtu ndo anatafuta ugali wa kila siku tugome tukale wapi tukaibe!!!
tukubaliane na hali halisi.wee nawe unaboa!?? Aaagh, kwenda huko
Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
tukubaliane na hali halisi.
kwanza kwa kipindi hiki ingebidi wanachadema tuungane kumuombea mwenzetu Zitto Kabwe.. kwa sababu ya ubinafsi wetu, tunakimbilia kumtetea Lema anayejitafutia sifa za kijinga wa kufanya kitendo ambacho hata kichaa hawezi fanya
Naanza kuamini sasa mmeshikwa pabaya.Dalili za kutapa tapa ninyingi sana!tukubaliane na hali halisi.
kwanza kwa kipindi hiki ingebidi wanachadema tuungane kumuombea mwenzetu Zitto Kabwe.. kwa sababu ya ubinafsi wetu, tunakimbilia kumtetea Lema anayejitafutia sifa za kijinga wa kufanya kitendo ambacho hata kichaa hawezi fanya
Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
Kamshauri Lowassa ajivue gamba kama unaweza.Nyie mtakuwa watu gani hata ushauri hamtaki
tukubaliane na hali halisi.
kwanza kwa kipindi hiki ingebidi wanachadema tuungane kumuombea mwenzetu Zitto Kabwe.. kwa sababu ya ubinafsi wetu, tunakimbilia kumtetea Lema anayejitafutia sifa za kijinga wa kufanya kitendo ambacho hata kichaa hawezi fanya
Ni yule anayekunyima usingizi hadi ukajiunga jana kwa ajili yake.Kweli kuna wa2 wajinga waacha shughuli zao za msingi eti lema who is?
Yaani wewe sijui una nini kwenye ubongo wako kuna watu wengine wakifa bongo zao tutatengenezea kiwi,ili tujaribu kama viatu vyetu vitapata mng'ao baada ya ukombozi,Zito huko anaendelea kupata huduma na sisi huku tunaendelea na mapambano akirudi tunaendeleza mapambano wewe ng'aka tu kama nyati aliyeangukiwa na mbuyutukubaliane na hali halisi.
kwanza kwa kipindi hiki ingebidi wanachadema tuungane kumuombea mwenzetu Zitto Kabwe.. kwa sababu ya ubinafsi wetu, tunakimbilia kumtetea Lema anayejitafutia sifa za kijinga wa kufanya kitendo ambacho hata kichaa hawezi fanya
Sheria zipo. CDM ni chama chenye wanasheria wazuri. Chadema ni chama chenye wasomi wengi.
Sidhani kama hata robo ya wanachama wasomi wa chadema wanasapoti huu upupu anaoufanya Lema
Nafarijika kusikia redio zinausoma maana kuna mtu jana alisema ni watanzania wachache sana walio na habari ya waraka wa Lema eti hawafiki hata 1/40 nikamuuliza anajua 1/40 ya watanzania ni ngapi hajanijibu hadi sasa.
Usijisalimishe Chadema hatutaki mwanachama mbumbumbu na mwoga kama wewe kifupi hatukuhitaji utatuambukiza woga.Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
Arusha wsill always be a nuclei of revolution - I hope. That region is where Sokoine came from, look at other revolutioneries like Ole Sendeka, Dr. W. Slaa, Hon. Godbless Lema bila kuwataja wale jamaa mashujaa wasioogopa kufa.