Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======
Walivyo panga kama kutatokea mwenye kiherehere akaingiza gari barabarani basi watashusha vioo vyote...ni swala la kusubili tu
preta zoezi la kutembea lianze kesho! Leo panda gari! Mimi zoezi nalianza leo kutoka home kwenda baa
Mkuu fanya msaada mdogo sana...toa copy za walaka wa Lema uende nao bar angalau copy 10....asante
Serikal i ingemwajibisha tu huyo mwanadamu anayewaita wenziwe PANYA ili kuepusha shari na hasara. Au hilo la panya ni zuga tu kuna lingine!?
Makalavati ya bongo hasa ya hapo A-town sijui yanahali gani labda ya jiji la Bwagamoyo Sirte yetu tutakapomalizia.Jamaa Wameanza kuhaha, naona zile pira za CCP zinapanda town kwa pupa... Kipindi hii wakaazime na polisi toka nchi jirani lakini wapi,...
Panya wamechafukwa ile mbaya. Zuberi tafuta Exile brother usiokotwe kwenye makalavati .
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama![/QUUTE]
Mkuu juzi daladala ziligoma watu waliteseka lakini jaama walikomaa mpaka haki ikatendeka...kuna wakati inabidi uteseke ili ufaidi baadae...hata wewe wakati unanunua hicho kinoah chako lazima kwa njia moja ama nyingi uliteseka yaani kuna vitu ulikuwa una vikosa kwa sababu ulikuwa na lengo la kununua Noah lakini leo unafaidi.....
na nani dr, dr, dr, kikwete sana sana atampandisha cheo....
Asante sana.....leo kila mitaani nimeshangaa sana watu wako vikundi wana fatilia JF na kuusoma walaka wa Lema nikaona kuna haja ya kuuprint angalau kiasi na radio station za hapa Arusha wameusoma kuanzia jana jioni na leo Asubuhi naamini mpaka sasa mwana- Arusha(Mjini) ambae atakuwa hajui kinachoendelea basi ni wachache sana........Mkuu nimetoa copy nyingi sana na nimewasambazia machalii wengi sana!
Mkuu kwa hiyo mtasaidiwa na Nato?Makalavati ya bongo hasa ya hapo A-town sijui yanahali gani labda ya jiji la Bwagamoyo Sirte yetu tutakapomalizia.