Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Wana JF,
Mwajua me nilidhani a Time Boom will take the ages kulipuka sasa naona kumbe muda wake umefika hata huko 2013 sidhani kama tutafika kwa hali hii ya police kufanya vitu makusudi.
Mkuu 2013 inaweza ikafika hilo halina shaka ... Sasa yuko wapi Kiogozi wa kisereakali mwenye FIKRA na AKILI nzuri wa kwenda Kufanya maamuzi mazito ya kumfanya HON LEMA atoke gerezani kuzui kinachotokota? ... wote .. VIBURI JUU ... na Lema alijua ATAWAKAMATIA PA BAYA... hawana ubavu wakumfanya oteke ndani na kuzima nguvu kubwa inayojipanga kulipuka....Wait and see!!! .. vita si lazima Mabomu ..Psychology kidogo tu!!
Please understand it all no hard feelings n all this ...Basi fanyeni kila namna Atoke Gerezani MTAWEZA..!!!????