Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
Mtu kajipeleka mwenyewe mahakamani halaf watu vihelehele ati wanagoma.sasa wanamgomea nani?.Tuzungumze ukweli tukiambiwa chagueni wabungë wa CCM tunakuwa na viburi,sasa hawa wehu tunaona madhara yake.tangu tumchague huyu jamaa hapa Arusha amekuwa kituko.hajafanya lolote la kutuletea maendeleo zaidi ya migogoro na vifo.tunamshukuru AFANDE ZUBERI kumdhibit la sivyo wizi wa magari ungekua umetamalaki hapa Arusha.
Yale yale ya IGunga , vyombo vya habari viliongeza chumvi sana kuhusu hali a Igunga wakati wa uchaguzi, wakati wakazi wa huko wenyewe wanaendelea na kazi zao kama kamwaida. Arusha nao watakuwa wanashangaa tulivyokosa kazi humu JF yaani kweli daladala na pikipiki zigome kisa mtu kajipeleka mwenyewe jela. Kma mimi ndiyo SUMATRA hakika magari yenu hao mtauza scrapersIlikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======
Mtu kajipeleka mwenyewe mahakamani halaf watu vihelehele ati wanagoma.sasa wanamgomea nani?.Tuzungumze ukweli tukiambiwa chagueni wabungë wa CCM tunakuwa na viburi,sasa hawa wehu tunaona madhara yake.tangu tumchague huyu jamaa hapa Arusha amekuwa kituko.hajafanya lolote la kutuletea maendeleo zaidi ya migogoro na vifo.tunamshukuru AFANDE ZUBERI kumdhibit la sivyo wizi wa magari ungekua umetamalaki hapa Arusha.
Vyombo husika vya kiserekali vizikilize ushauri huu. Kajadilianeni na Lema sasa hivi , muelewane naye atoke kule aliko ili kuvunja NGUVU amabayo mkifanya mzaha kidogo Mtamkabidhi mikononi, jmabo ambalo mtalijutia kwa muda mrefu ujao. MSICHEZE NA NGUVU YA UTU ANAYOILALAMIKIA KWENYE WARAKA WAKE ... UTU NDIO CHIMBUKO LA TAIFA HILI ... NI MEBGU YA KUMWAGILIA MAJI KIDOGO NA ITAFUMUKA KWA NGUVU KUBWA.
Kwa kuwa hamko kwenye nafasi ya kusikilizana nyie wenyewe ni kweli PIA hmna nafasi ya kusikiliza kinachoshauriwa hapa. HIVYO tarajieni kile ambacho hamtatamani kukiona , kile ambacho BURE kabisa Mtampatia kama USHINDI kwenye kisahani cha ALMASI Mheshimiwa Lema. NARUDIA Tena ... Kama hamtaki kumpa Lema ushindi wa BURE kabisa ..MFUNGULIENI SASA HIVI ...!!
Lakini Nyie wabishiiiiii!!! Kwahiyo ...Subirini kimchezo mchezo nchi nzima ijipange ... Hamjaona kitu kama hiki ..karibuni .... Lema ameweka mitego yake in a purely PSYCHOLOGICAL WAR FAIR ...!!! You will poorly react and you will terribly going to loooseee!!
hujielewi wewe....endelea kuwaita wanaume wenzako wahuni...akili zako ni nusu kijiko
Kama hujui lengo na faida ya mgomo wa kesho sasa ushauri wako utatusaidia nini nyamaza waache wanaojua malengo yake.Watanzania wenzangu,
Ni kwa nia njema kabisa naomba kueleweka kwamba ni hekima na busara kuweka U-tanzania kwanza kabla ya Chama. Hapa napenda kuongea kama mtanzania na wala si mwana CCM ama mwana CDM.
Ni vyema tukajua asili, lengo, nia ya kitu kabla ya kukifanya ama kukishabikia. Kama watanzania wapenda amani tunajua nini maana ya mgomo huo unaotarajiwa kufanywa kesho?, kwa faida ya nani?.
Ndugu zangu tuwe makini sana na tutafute ukweli kwa mapana na marefu kabla ya kushabikia mambo. Kwa upande wangu nisingependa hayo yatokee kwani kuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo. Na nikiangalia kwa undani zaidi naona Watanzania tunasukumwa kuanza vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya watu wachache wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupata msaada wa mataifa makubwa ya magharibi.
Tuwe makini ndugu zangu, tuelewe nini lengo na nia ya chama unachoshabikia, nani anatoa fedha za kukiendesha chama hicho na kwa sababu gani. Tuna madini lukuki ndani ya nchi yetu, nchi za magharibi zinayatamani sana hivyo tusipokuwa makini tutajikuta tunapiganishwa wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya hayo mataifa makubwa ya magharibi yanayotoa hayo mapesa kwa lengo la kuleta machafuko ndani ya Tanzania.
wafanye hivyo na sisi tuwaunge mkono ili kuonyesha solidarity 4reva
Muna simba gani Tanzania kuzidi simba baba yenu wa Afrika aliyetolewa kwenye shimo la majitaka juzi.Na ikiwa wataenda kujadiliana na LEMA basi hapo nitaaminini kwamba kweli serikali ya JK ni serikali legelege!!! Yaani mtu ajipeleke mwenyewe selo halafu ukambembeleze atoke?!!! kumbe alijipeleka makusudi ili achochee ghasia zitakazowaumiza waliomo na wasiokuwemo?! Mnataka kumchezea simba sharubu kwa kumuona amelala!
Yale yale ya IGunga , vyombo vya habari viliongeza chumvi sana kuhusu hali a Igunga wakati wa uchaguzi, wakati wakazi wa huko wenyewe wanaendelea na kazi zao kama kamwaida. Arusha nao watakuwa wanashangaa tulivyokosa kazi humu JF yaani kweli daladala na pikipiki zigome kisa mtu kajipeleka mwenyewe jela. Kma mimi ndiyo SUMATRA hakika magari yenu hao mtauza scrapers
Watanzania wenzangu,
Ni kwa nia njema kabisa naomba kueleweka kwamba ni hekima na busara kuweka U-tanzania kwanza kabla ya Chama. Hapa napenda kuongea kama mtanzania na wala si mwana CCM ama mwana CDM.
Ni vyema tukajua asili, lengo, nia ya kitu kabla ya kukifanya ama kukishabikia. Kama watanzania wapenda amani tunajua nini maana ya mgomo huo unaotarajiwa kufanywa kesho?, kwa faida ya nani?.
Ndugu zangu tuwe makini sana na tutafute ukweli kwa mapana na marefu kabla ya kushabikia mambo. Kwa upande wangu nisingependa hayo yatokee kwani kuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo. Na nikiangalia kwa undani zaidi naona Watanzania tunasukumwa kuanza vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya watu wachache wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupata msaada wa mataifa makubwa ya magharibi.
Tuwe makini ndugu zangu, tuelewe nini lengo na nia ya chama unachoshabikia, nani anatoa fedha za kukiendesha chama hicho na kwa sababu gani. Tuna madini lukuki ndani ya nchi yetu, nchi za magharibi zinayatamani sana hivyo tusipokuwa makini tutajikuta tunapiganishwa wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya hayo mataifa makubwa ya magharibi yanayotoa hayo mapesa kwa lengo la kuleta machafuko ndani ya Tanzania.
haya....nimependa ushauri wako.....
Muna simba gani Tanzania kuzidi simba baba yenu wa Afrika aliyetolewa kwenye shimo la majitaka juzi.