magari ya kwenda dar, morogoro, mbeya nayo yagome.
pia inakiwa pale kwa mrefu kwenye matuta mawe makubwa yapangwe. Hiyo itakuwa safi, mesent sent.
machalii wa arusha mpooo, aminiaaa
fanyani kweli hawa magamba wasitutishe, wananchi wanaitwa panya bwana!!!
Chama cha Demokrasia na MaendeleoChama gani Ccm,Chadema au TLP.?
Oops..sorryusintafutie BAN kum$%% ako
Jamani huyu anayejiita facebook ni mpuuzi
Yagome kwa sababu ya Lema?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Tusiangalie tu kwa hesabu za matajiri wao..tuangalie uchumi wetu kwa ujumla. Hii tusiichukulie kirahisi, ni issue ambayo ina impact kubwa sana kwenye uchumi.Mimi naomba mgomo ufanyike mwezi mzima tuone na wenye pikipiki jioni wanataka hesabu zao
Nitolee nye$%$£ zako hili ni gari kubwa.Tuneshapoteza ndugu zetu kwa sababu ya maamuzi ambayo sisi wenyewe tulijona kuwa siyo sahihi. Kwanini tena tuendelee kuwaumiza wengine? Halafu wengi mnaojidai kuhamasisha mgomo, ni watu wa maofisini na kesho mtakuwa mnaomba updates ya kinachojiri huko. yaelekea mnapenda sana kuona watanzania wenzetu wakiumia.
Mimi ni mwanachama halali wa CDM.We kalumekenge! Undoa upupu wako humu kazi kuchafua hali ya hewa tu. Utakuwa mtumwa wa sisiem mpk lini watu kama wewe humu ndani mnahesabika utafikiri ndiyo wazawa wa mwaka 1927 wajinga wakubwa na kundi lako lote na mnaojuna.
Na wewe unaona ni sahihi watu kugoma tuende kumlili mtu aliyejipeleka gerezani mwenyewe?
We have to admit kwa hili Lema amechemka
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama!
Yagome kwa sababu ya Lema?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Hivi tangu wale CHADEMA wawaue wale vijana wawili, familia zao zikoje ? au ndo yameishia hapo? Wengine wameshajipatia umaarufu na imetoka. Nadhani sasa watu wa arusha mmeshatambua kuwa watu wanajipatia umaarufu kupitia damu zenu. Msikubali kuvunja sheria za nchi kwa ajli ya kuwapa umaarufu wachacheIlikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======