Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
weka ushahidi mezani tuone.sio kuleta kipeperushi cha Kubenea hapa.
hayo ma kipeperushi ya kubenea yalikwishapuuzwa na wazalendo wa nchi hii
kubenea alikwisha kuwa na double Standards yaani siasa na umiliki wa press

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unambiwa ni aibu ! Nimempigia simu Credo kuthibitisha habari hii nilichoambulia ni kilio na kusaga meno ! Hakika malipo ya usaliti ni balaa !!
 
Safi sana ,uzuri Mungu hamfichi mnafiki hata siku moja, na siku zote mwisho wa ubaya ni aibu. Halafu wajinga wanatamba kuwa awamu hii wala na watoa rushwa watakiona cha moto, wapi TAKUKURU? Wamekosa pesa na udiwani wamekosa malipo ni hapa hapa duniani.
 
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
Safi sana wanyimwe kabisa huwezi kusema unamuunga mkono Rais kwa kuacha kuwataumikia wananchi na kuwatelekeza wananchi waliokuchagua. . ...kama upinzani wamesaliti ata wanakotaka kwenda watasaliti tu msaliti ni msaliti tu...
 
Ma sisiemu hua matapeli sana, yalishawahi watapeli madiwani wa shinyanga kwa mtindo huo huo, msuka mipango alikua bwana Steven Masele mbunge wa shinyanga mjini, kuna diwani alipewa cheque hewa, kwenda bank anaambia mbona account hii haina mapene na ilishafungwa zamani sana na sisiemu, diwani aliangua kilio misili kapatwa na msiba
 
Nimecheka hadi wafanyakazi wangu wameshangaa , niko ofisini nashughulikia cheki za mishahara , sasa ulivyoiweka hiyo cheki iliyobuma imenigusa sana !
 
Acha laana iwatafune kama lipumba
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
 
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
Chanzo - Mwanahalisi gazeti la kubebea maandazi....!!! Ebu nikumbushe lilisemaje vile kuhusu Lowassa na Ben Saa8??
 
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
Ujumbe wako Mr Erythrocytes (aka Red Blood Cells) tumeupata vizuri. Kwamba una duka pale Kariakoo ambalo huwa linakuingizia faida ya si chini ya Sh 30 million kwa wiki sawa na Shs 120 millio kwa mwezi sawa na Sh 1.5 billion kwa mwaka. Hongera sana Mr Billionea wa TZ!

Natumaini mamlaka za TRA pia zimekusikia na zitatazama kama kweli kodi zetu halali huwa unalipa. Vile vile yale majitu mabaya (majambazi) nayo yamekusikia hivyo nadhani kiusalama unajiamini.
 
Hata siku moja haitatokea kwa shetani kumshinda Mungu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom