Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

Kwa nini wasingevumilia maka miaka mitano iishe. Mhe.Diwani anapata Tshs.250,000 kwa mwezi,posho za vikao,ziara nk.Mbona ni hela nzuri?.
Jamaa walipiga hesabu
Posho+mshahara+marupurupu ndo ikatua hapo 30m



invest what you are willing to loose
 
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .

Si ACACIA wamezingua!
 
Madiwani hao ni wapumbavu sana, wamechuma mshahara wa usaliti!!! Nilijiuliza unajiudhuru ili ummunge mkono JPM!!!! Mbona haiwezekani!!!! Ukijiuzulu unakuwa raia!!! Sasa utawezaje kumuunga mkono Rais wakati huna nafasi tena ya kufanya maamuzi katika jamii!!! Mbwa kabisa hawa madiwani!!!! Mara mia wangebaki Na udiwani wao huku wakitekeleza shughuli Za maendeleo Kwa kuwahimiza wananchi kuliko upuuzi huu walioufanya!!!! Nahisi hivi sasa wanajuta.. Wapuuzi kabisa hawa jamaa.
Waliahidiwa kugombea tena Kwa tiketi ya ccm

invest what you are willing to loose
 
Waende mahakamani kama wametapeliwa ili tujue mbivu na mbinch ccm ukoo wa panya kabisa.



Swissme
 
Ndugu unamnunua mtu mmoja ambaye aliomba kuchaguliwa na wananchi alafu aliyewanunua anajiona mjanja .

Kila tunachoplani hakiji na majibu mazuri zaidi Sana tunaumbuka kwani kuna jipya gani la kujisifia zaidi ya kuwatia watu korokoni na kuiona ndo njia ya kufanya siasa.
Ndugu kwa hili mnaigawa nchi bila kujua mwisho wake uchaguzi huo hapo mbele wakati huo hatuna rafiki wa kutusapoti.
Na mwisho wa kukosa sapoti kwa wananchi nadhani majibu yake mnayo ni kwa nini usemwe kwa ubaya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu unamnunua mtu mmoja ambaye aliomba kuchaguliwa na wananchi alafu aliyewanunua anajiona mjanja .

Kila tunachoplani hakiji na majibu mazuri zaidi Sana tunaumbuka kwani kuna jipya gani la kujisifia zaidi ya kuwatia watu korokoni na kuiona ndo njia ya kufanya siasa.
Ndugu kwa hili mnaigawa nchi bila kujua mwisho wake uchaguzi huo hapo mbele wakati huo hatuna rafiki wa kutusapoti.
Na mwisho wa kukosa sapoti kwa wananchi nadhani majibu yake mnayo ni kwa nini usemwe kwa ubaya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Simple answer, you will never kill oppositions by using this old days tactics.
 
Ujumbe wako Mr Erythrocytes (aka Red Blood Cells) tumeupata vizuri. Kwamba una duka pale Kariakoo ambalo huwa linakuingizia faida ya si chini ya Sh 30 million kwa wiki sawa na Shs 120 millio kwa mwezi sawa na Sh 1.5 billion kwa mwaka. Hongera sana Mr Billionea wa TZ!

Natumaini mamlaka za TRA pia zimekusikia na zitatazama kama kweli kodi zetu halali huwa unalipa. Vile vile yale majitu mabaya (majambazi) nayo yamekusikia hivyo nadhani kiusalama unajiamini.
Siku hizi hakuna majambazi bali watu wasiojulikana watakua wamemsikia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom