kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,183
Wakaombe ushauri wa Prof. Lipumba namna ya kutengua maamuzi yao ya awaliImebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
Kwa hiyo unabisha nini, kwamba wamelipwa, kwamba walinunuliwa? Kweli CCM ya Magufuli ni mafisadi wa kutupwa!Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
But from the wrong source.Good News
kwahiyo wamepigwa miti bila kulipwa kisha wametorokwa lodge teh...teh..teh..Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
Rushwa ya ahadi IPO... Kwa mujibu WA sheria.Ni uthibitisho tu kuwa hawakuhongwa! Mengineyo ni blah blah...
Mshahara wa dhambi ni mauti .kwahiyo wamepigwa miti bila kulipwa kisha wametorokwa lodge teh...teh..teh..
Taarifa kubwa hapa ni pesa ya wiki moja kariakoo ni mil.30. Hongera mkuuuImebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
ndo maana yake...sasa sijui watafanyaje maana huko walikotaka kwenda ni balaa kiuchumi na kurudi walikotoka haiwezekani teh..teh..teh.. kweli wajinga ndio wanaoliwa..Mshahara wa dhambi ni mauti .
unasomeka vyema great thinker,watambuzi tunatambua vyema kinachoendelea.Hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania, nafikiri Afrika anaweza kujiuzulu nafasi yake ya uongozi kwasababu ya kumuunga mkono mtu yoyote yule bila malipo,
Kama kuna mtu ana akili zake timamu anaamini madiwani wa Arusha wamejiuzulu nafas zao za uongozi bure tu basi akapimwe mkojo na choo kabisa, waganga njaa wale wanaupata wapi ujasiri wa kujiuzulu eti kumuunga mkono Rais, je wakiwa Chadema huo mkono hauungiki? Mbona wale wafuasi wa Zitto wameficha aibu yao?. Msichokijua ni kwamba mwenezi kagomewa kupewa malipo yao na chama, wamemwambia mbona mwenzako Nape alikuwa akiwaleta kwa hela ndogo sana tena wengine wenye hadhi ya wabunge sasa wewe umetuletea madiwani tuwalipe mzigo wote huo? Mfano wale MIFUGO waliokatwa mikia waliporudi zizini/ccm, wamerudi bure na waliambulia hela ya guest kipindi cha mkutano mkuu tu na ndio maana mfugo mmoja unahangaika humu kuimba mapambio kwa Rais ukisubiria uteuzi. Ndio maana mwenezi kagoma kumjibu LISU kuhusu bombadier zetu akilalamika kuwa wananisumbua mpaka mvuta bangi wa Geita kajitokeza kujibu.