Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,081
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa CHADEMA waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu, walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa (wamepigwa puu).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30, kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa (Leguruki), Emmanuel Mollel (Makiba) , Greyson Isangya (Maroroni), Josephine Mshiu (viti maalum) na Credo Kifukwe ( Muriet)
Chanzo - MwanaHalisi.
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana, hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi.
Ni aibu ya milele.