Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

Hayo ndio malipo ya wasaliti sasa wasubirie mwisho mbaya maana wasaliti wote wana mwisho mbaya
 
MwanaHalisi pia limeripoti kwa urefu kuhusu Bombadier inayosubiri kupigwa mnada wiki ijayo , hiyo nayo tunajitekenya ?
Lkn pia mwana halisi liliwahi kulipoti kuwa lowassa ni fisadi.kipindi cha kuelekea kura za maoni ccm.likaripoti tena kuwa LOWASSA NI DHAIFU HAFAI KUWA RAIS WA TANZANIA.Vp unalichukuliaje hilo gazeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata 30,000,000/kwa wiki!!!!!!!!ngoja ufuatiliwe kama kodi unalipaa Kwa halali kulingana na mapato halisi ya biashara yako kama ulivyoyataja hapo juu.
Kwani ajabu gani? ulipaswa umuulize jee hiyo ni Net au gross profit?
 
Wat goes around comes around

Wasaliti,wamesalitia

invest what you are willing to loose
 
walisema lengo lao ni kuunga 'mkono' watulie.!

hata Mimi ningependa nilipwe,sababu siku zote naunga 'mkono' kila kitu.

Sasa kwa pamoja tuendelee kuunga huo mkono au tulipwe sotee
 
Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).

Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.

Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )

Chanzo - MwanaHalisi .

Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !

Ni aibu ya milele .
30M kununua udiwani?

CCM wamelaaniwa!
 
Alafu huyo wa Maroroni ni mshikaji wangu ila alivyojiuzulu alinikera sana,kijana mdogo alafu mwenye degree ila anashawishika na mambo ya ovyo sana.

Naipenda JF
 
Huwezi kusaliti mabadiliko ukabaki salama, usaliti walioufanya utatafuna vizazi vyao pumbavu zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom