Hata kukamatwa kwa bombadier Canada ni gazeti hili hili li ripoti kwanza mkabisha.Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Hata kukamatwa kwa bombadier Canada ni gazeti hili hili li ripoti kwanza mkabisha.Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Hata Fisadi Mkuu na asiyesafishika alitajwa kupitia gazeti hili hili...Hata kukamatwa kwa bombadier Canada ni gazeti hili hili li ripoti kwanza mkabisha.
Unajua huu usomi ni nyongeza tu , malezi ni tatizo kubwa sana .Alafu huyo wa Maroroni ni mshikaji wangu ila alivyojiuzulu alinikera sana,kijana mdogo alafu mwenye degree ila anashawishika na mambo ya ovyo sana.
Naipenda JF
Kwa maana hiyo ni reliable source.Hata Fisadi Mkuu na asiyesafishika alitajwa kupitia gazeti hili hili...
Inaonyesha hao madiwani from day one ni njaaa ndo iliyowapeleka ktk siasa! Mwanamapinduzi wa kweli yupo tayari kufa kwa kutetea falsafa anayoiamini! Sasa kama wao jana walikuwa wanaamini ktk falsafa na itikadi za Chadema,Anakuja mtu na mlungula anasiliti Chadema maana ake ata huko walipomwambia aje baada ya kuhaidiwa pesa afai na sio mwana mapinduzi ni mchumia tumbo.Pole zao maana hiyo ndo hali halisi ,CHADEMA wawapotezee tu hao wajaa njaa na tamaaImebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
Inamsubiri nani hiyo bombedier kupigwa huo mnada huo nao ni unafikiMwanaHalisi pia limeripoti kwa urefu kuhusu Bombadier inayosubiri kupigwa mnada wiki ijayo , hiyo nayo tunajitekenya ?
Si unajua mapanga boi hayana soko sana , shida ni wateja , vinginevyo ungeona manyoya tu !Inamsubiri nani hiyo bombedier kupigwa huo mnada huo nao ni unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Halijawahi kulipoti labda umefananisha au kiswahili chako kibovuLkn pia mwana halisi liliwahi kulipoti kuwa lowassa ni fisadi.kipindi cha kuelekea kura za maoni ccm.likaripoti tena kuwa LOWASSA NI DHAIFU HAFAI KUWA RAIS WA TANZANIA.Vp unalichukuliaje hilo gazeti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watarudi tena CHADEMA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
C kila kitu ambacho wewe hukijua maana ake hakipo.kuna vitu vingi vimefanyaka lkn wewe huvijui lin vp.Asili ya ujinga ni pale unapoamini kuwa unajua kila kitu.uepuka huo ugonjwaHalijawahi kulipoti labda umefananisha au kiswahili chako kibovu
Hata huyo mbunge wa jimbo hilo haeleweki siku hizi ,huwezi,saliti ukabaki salamaImebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).