Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

...
Freemason is real
👇🏾
 
vijana wana hamu ya kufa kupitiliza
"Watu walio tayari kuua wapo. Ndiyo wanaitwa wasiojulikana. Kinachokosekana ni watu walio tayari kufa. Siku wakipatikana walio tayari kufa basi taifa letu litaingia katika matatizo makubwa"

Bishop Dr. Kalikawe Benson Bagonza.

Inaonekana watu walio tayari kufa wameshapatikana. Tumo katika matatizo makubwa kama taifa.
 
Kikosi cha Dullah kinaingia mzigoni muda si mrefu.

Nawahurumia akina mama watakavyofyatuliwa.

Wacha mie niendelee kujificha uvunguni, naogopa sana.

Aione Kaka angu: UCD
wanajivunia silaha tu , wakiendelea hvvyo , wapi watz abroad watatafuta kuwapa vijana

Serikali imefanya kosa na raia wapo tyr kusamehe ila serikali inataka iombwe msamaha wkt yenyew ndo imekosea
 
Kwani wakiwapatia miili Yao wakazike au wakiwaambia ilikopelekwa watapokonywa madaraka?
Dah Tanzania ndio nchi yetu hatuna pengine pa kupaita nyumbani, wao wana pesa za kwenda popote Mambo yakiharibika Sisi maskini hatuna uhakika hata wa ugali wa kesho. Naomba watawala watuzingatie
 
Ingekuepo wangepewa
 
Back
Top Bottom