Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,862
- 2,820
Ukatili ni tabia ya Mtu na sio DiniNi kosa kubwa muislamu kupewa nchi hawa watu ni makatiri na wauaji in nature
Ukatili ni tabia ya Mtu na sio DiniNi kosa kubwa muislamu kupewa nchi hawa watu ni makatiri na wauaji in nature
Hii ni Leo?Ndio hali ni hatari angalia video hii
View attachment 3499194
Ndio jioni hiiHii ni Leo?
Zanzibar wanafurahia kurudi tena usukani Samuya,Nawaamini sana watu wa huko Arusha, hampoi katika jambo lenu. Big up sana wana wa Arusha. Mpaka kieleweke Mwanza, Geita, Mbeya, Tunduma, Dar es Salaam, Zanzibar, Lindi, Mtwara, Bukoba
Chali wangu wa Chuga tupia haraka video mjongeo / picha kabla hawajazima intaneti
Ndio jioni hii
Nenda au piga simu hospital hasa mochwar za Tengeru Hosp na Hospital jirani upate ushahidihivi hii habari ina ukweli wowote au ni uzushi tu
Magu aliyetupa wafu kwenye sandarusi baharini nae alikuwa muislam?Ni kosa kubwa muislamu kupewa nchi hawa watu ni makatiri na wauaji in nature
HAPANA.
Oct 29 kulikua na uwongo mwingi kupitia simu,maji niliopo watu waliambina umenuka balaa na wanajeshi wapo njiani kuja kuuchukua, wakati hakukua hata na bust ya baiskeliSimu zipo
We si umeenda,tuwekee pichaKama ni uongo , nenda sasahivi Hospitali ya Tengeru, Nkoanrua na Mt.Meru
Nenda muda huu kama upo karibu
Mpaka utapopigwa risasi ya kiuno ndo uraibu huishaKuandamana ni uraibu kama betting tu.
Sijaenda wameenda majirani zangu, na ht ningeenda nisingepiga picha...sina uo upumbavu wa kupiga maiti pichaWe si umeenda,tuwekee picha
Huyu mama katuharibia sana nchi qmmke zakeHivi watanzania wamesha onwakama mafala? Mtu anakanyaga tu kama anavyo kanyaga kuku?