Bila maandamano yasiyokuwa na kikomo, genge hili haramu liloteka nyara nchi haliwezi kuachia ngazi.
Madagascar hawakuchoka na maandamano endelevu kama wenzetu wa Kenya, tumeona walikaza kule Madagascar hadi Andry Nirina Rajoelina rais wa Madagascar akakimbilia kwa wajomba zake.