Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,194
- 99,925
2025 the year to remember
Wana arusha wanasema free mbuge wetu REMA safi sana Arusha hii aijaisha mpaka iisheHali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
Weka hata ka pichaWana arusha wanasema free mbuge wetu REMA safi sana Arusha hii aijaisha mpaka iishe
Wee kunguni muda unaoutumia huku bora ukamwambie bi chura afufue zi R nne ili aiponye roho yake na nchi kwa ujumla.Na kote huko upo!
Mkuu huyu Mwashambwa mi nikimdaka nakula mpaka... Huyo mwamba anakera sanaMimi lazima niruke na Lucas Mwashambwa nimtie kiberiti mbwa huyu.
Wee kunguni muda unaoutumia huku bora ukamwambie bi chura afufue zi R nne ili aiponye roho yake na nchi kwa ujumla.
Umepat update yoyote?Hatari sana
Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea
Mkuu Chekereni si karibu na Same huko?Nipo Chekereni sioni dalili ila ngoja niulizie
Inasikitisha sanaMtandao unazimwa soon