Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,514
- 18,603
Nani amesema hivyo?
Nani amesema hivyo?
hamna nywi nywi wala nyu nyuuu tenaKama ni uongo , nenda sasahivi Hospitali ya Tengeru, Nkoanrua na Mt.Meru
Nenda muda huu kama upo karibu
Hapa Arusha ni milio ya risasi tu Kila eneo..Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea.
Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje .
Madai ya wananchi ni kuhusiana na kupewa miili ya ndugu zao ambayo haijulikani ilipo Hadi Sasa.
Nimetoka Nshupu kuelekea MjiniWe upo wapi? Seela kwa kuriii?
Nasindiswa?Nimetoka Nshupu kuelekea Mjini
Vijana wakiamua kuwa Waasi itakuwa balaa kubwa nchini kwsbb watafadhiliwa silaha nzito na wasioipenda TZ, na nchi haitatawalikawanajivunia silaha tu , wakiendelea hvvyo , wapi watz abroad watatafuta kuwapa vijana
Serikali imefanya kosa na raia wapo tyr kusamehe ila serikali inataka iombwe msamaha wkt yenyew ndo imekosea
😂😂😂😂😂Mimi lazima niruke na Lucas Mwashambwa nimtie kiberiti mbwa huyu.
Bado wanaendelea kuua!🥹🙆Hapa Arusha ni milio ya risasi tu Kila eneo..
Simple ishu ni kwamba watu wanataka miili ya ndugu zao wakazike miili haionekani
Huyu ni WA kupiga panga LA shingo tuMimi lazima niruke na Lucas Mwashambwa nimtie kiberiti mbwa huyu.
Mkuu Bora wewe umeona Hilo Kwa upeoVijana wakiamua kuwa Waasi itakuwa balaa kubwa nchini kwsbb watafadhiliwa silaha nzito na wasioipenda TZ, na nchi haitatawalika
Ndio kama kina M23, LRA na vikundi vingine vilivyoasi
Tuombe Mungu tusifike huko, just imagine tuna vijana wangapi wa JKT waliofundishwa kutumia silaha na wapo mtaani bila kazi?
Ikibidi waondoke na vichwa vya mapolisiWasisahau kupitia nyumba za mapolisi,
Lucas Mwashambwa ni hazina ya Taifa.Mimi lazima niruke na Lucas Mwashambwa nimtie kiberiti mbwa huyu.
Kama ndiye huyu hata mm namlamba tigo
Nimeandika halafu nikafuta
Kumbe ndio huyu..!!!