Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

Wanaenda na muda
Maandamano sio kupanga au kusubiri sijui Tisa December.
Watawala wameanza kurelax kama life ni normal
Nchimbi anasema nchi ni shwari wameona tumelegea tayari
Majangili yamesharudi Zenj Ni kuendeleza mapambano maandamanoooooooo ndio jibu
Wengine wamesharudishwa pale CCP Moshi.
 
Back
Top Bottom