Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,859
- 2,817
Yes, Sometimes rumours ni nyingi hasa humu, ila huwwa napost fact, ht km sipost pictures au video clipsOct 29 kulikua na uwongo mwingi kupitia simu,maji niliopo watu waliambina umenuka balaa na wanajeshi wapo njiani kuja kuuchukua, wakati hakukua hata na bust ya baiskeli