kwa iyo hizo ndo picha???
Mleta huu uzi muda si mrefu utaukimbia huu uzi wako
hahahah...eti HATARI-WEKA MBALI NA TEMBO
YANI ANA MAANA YA KWAMBA CCM + KINANA NI HATARI KWAIYO WEKA MBALI NA TEMBO SIO??
LOL
:madgrin: :madgrin:
Hawa jamaa wamefanya makosa, wangeenda kwenye ulie uwanja wa pale kilombero, tatizo huu uwanja hujazwa na wanafunzi, ila kwa laia wa kawaida si dhani, wataishia kukaa jukwaa kuu tu,
Huyu kinana siyo wa kumchekea kabisa. hebu ona picha hii
huo msafara umepotela wapi?? msijekuwa mmeingia arusha national park kufanya yale mambo yenu.
Kuna mhindi na kondaki wa hiance wapigwa na green guard baada ya kuonyesha ishara ya v, ni maeneo ya burka
Wanatafuta watu watoyo, mabalozi na familia zao waje kujaza uwanja...vipi mkuu wewe utakuwepo