Arusha Leo: Picha na matukio mbalimbali ya mkutano wa CCM

Faulisa

Member
Nov 11, 2009
45
25
Tuko kwenye maandalizi wa ujio jmpiganaji Abdallahman Kinana hapa jijini Arusha, kwasasa tunawaandaa waendesha pikipiki kwaajili ya kwenda kumpokea katibu wetu. picha za matukio zinakuja.

Nitazidi kuwapasha zaidi.

attachment.php


attachment.php


attachment.php


Updates
=============

Msafara wa viongozi wetu Kinana, Nape na wengine ndiyo wako mto nduruma lakini uwanja umefurika..

========
Kinana akiwa ameshawasili.

attachment.php


=====


Kinachoendelea kwasasa ni kuwapokea wale waliokuwa madiwani kupitia chama pinzania..
 

Attachments

  • 100_2678.JPG
    100_2678.JPG
    374.6 KB · Views: 490
  • 100_2679.JPG
    100_2679.JPG
    130.5 KB · Views: 415
  • ccm-arusha.JPG
    ccm-arusha.JPG
    80.3 KB · Views: 8,855
  • 100_2674.JPG
    100_2674.JPG
    74.7 KB · Views: 8,759
  • 100_2676.JPG
    100_2676.JPG
    84.3 KB · Views: 8,597
  • 100_2688.JPG
    100_2688.JPG
    349.2 KB · Views: 410
  • 100_2689.JPG
    100_2689.JPG
    566 KB · Views: 703
  • 100_2693.JPG
    100_2693.JPG
    143 KB · Views: 435
  • 100_2694.JPG
    100_2694.JPG
    89.5 KB · Views: 734
  • 100_2695.JPG
    100_2695.JPG
    137.5 KB · Views: 378
  • 100_2690.JPG
    100_2690.JPG
    123.6 KB · Views: 7,054
Hawa jamaa wamefanya makosa, wangeenda kwenye ulie uwanja wa pale kilombero, tatizo huu uwanja hujazwa na wanafunzi, ila kwa laia wa kawaida si dhani, wataishia kukaa jukwaa kuu tu,
 
Hawa jamaa wamefanya makosa, wangeenda kwenye ulie uwanja wa pale kilombero, tatizo huu uwanja hujazwa na wanafunzi, ila kwa laia wa kawaida si dhani, wataishia kukaa jukwaa kuu tu,

Kwani wao ni wajinga ili mkawapige mawe....hahahah...mkuu hua pikipiki hata nikuazime maana 30000 inanitosha kabisa ukizingatia mimi siyo mnywaji sana...
 
Kuna mhindi na kondaki wa hiance wapigwa na green guard baada ya kuonyesha ishara ya v, ni maeneo ya burka
 
Yetu macho sio masikio maana ccm wanaongea tofauti na matendo yao.

Hivyo masikioni inaudhi sana kwa propaganda na maneno mengi pasi na matendo yanayofanana.
 
Niko hapa mitaa ya Mbauda kuna jamaa wa CCM anasaundisha Madreva wa Bodaboda waende kujoin msafara
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom