Arusha Leo: Picha na matukio mbalimbali ya mkutano wa CCM

Sasa wakubwa wa CDM mnataka gazeti gani Mwananchi hamlitaki, Jambo/habari leo hamyataki, Uhuru hamlitaki, hata TZ Daima mna shaka nalo. Nyie mnataka kuambiwa uongo unaowafurahisha

gazeti lao ni tanzania daima,kila siku habari zake ni chuki tu.mhariri nadhani anaishi pale mtaa wa ufipa aka manhattan kinondoni manyanya
 
kama picha zile
hazjachakachuliwa basi zingatia kuna aina ya upigaj picha inayoweza
kukudanganya, apo horizon haikuonekana kt picha ilowekwa gazeti la
mwananchi, picha tmeziona jana iyoiyo mida ya jion mkutano ukikaribia
tamati, watu hawakuwa weng, otherwise unge kubali kwa sasa chadema ni
nambali wani kwa sasa

ulisoma kilichoandikwa au unataka kupewa moyo tu, CDM bado sana
 
mbona chadema ndo wanaongoza kwa maandamano na foleni za pikipiki vipi nao wanawalipa elaa....chama dume ccm chama tawala kimesimama mbayaaa mwendo mbelembeleee ..mtajibeba mwaka huu

umejuaje ni dume? wameshakucameroon nini? msifia mvua imemnyeshea
 
article-0-12231203000005DC-463_634x396.jpg

Katibu mkuu ana shabaha kweli kweli, masikini tembo wetu !!!!!!!!!!!!!!!!

 
Back
Top Bottom