Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,091
- 32,519
Wewe nadhani upo Ushagoo na Arusha hujawai kutia hata pua, Hapa mjini hakuna mawe yakuziba barabara bwana mdogo, trip ya town to njiro inaishia impala na hapa round about hakuna mawe ya kuwazuia ila wanakatisha safari kwa kuheshimu mgomo uliopo ila jioni lazima wapeleke kitoweo nyumbani.
Tarehe 14 takuepo Arusha tafikia Palace Kibo hotel karibia na mahakama, nikifika takuambia tukutane pale mnara wa saa..
Arusha unaona CHICAGO?