macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,280
- 56,988
Tatizo siyo wananchi kuchagua, tatizo ni kuwa siku hizi wabunge wanateuliwa na rais. Watanzania tunasahau haraka sana sana.Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! π
Niliwahi kumsikia kinana akidai kwamba makazi yake rasmi ni Lemara, Solomon Ole saibul kwake ni Lemara, wanashea mpaka na Felix mrema, yaani geti la Saibul pembeni geti la mrema, Godbless Lema kwao pia ni Lemara, Mh Gambo ameishi Lemara kwa kipindi kirefu sana,muda wote akiwa anasoma uhasibu alikuwa akiishi huko, nasikia baada ya kupata ubunge alinunua nyumba Engutoto, ambayo zamani nayo ilikuwa ndani ya lemara, na huko ndiko kinana alipojenga kasri lake la sasa, na lemara ni moja kati ya mitaa ya hovyo kabisa mkoani arusha, ukiacha sehemu ya njiro hadi kule makaburini, my point is>>haijalishi umetokea wapi, what mtter ni kile ulichokifanya kwenye eneo ulilopewa kuliongoza, wabunge wengi wa arusha wameshindwa hata kuendeleza maeneo waliyokuwa na makazi yao, basi na aje yeyote tu, hata mburundi, hatutegemei chochote kutoka kwao,Over.Ange kuwa na mji ange ang'ang'ania nyumba ya mwenzake? Arusha alikwenda kujificha kwa wakwe zake kuepuka watesi wake Dar
Kinana ame zaliwa wapi? Mrema makazi yake ya kudumu wapi? Gambo makazi yake ya kudumu ni wapi? Huyo mnae mpigia kifua anaishi wapi baada ya kuutamani ubunge wa jimbo la Arusha
Makazi yake yapo barabara ya kutoka Arusha mjini kuelekea Moshi lakini pia ana bonge la ardhi huko Sakina thamani yake kama bajeti ya mkoaHuo mji upo sehemu gani? Kwa nini hataki kuhamia kwenye mji wake anang'ang'ania nyumba ya Serikali
Wewe ndio utakuwa na itikadi za kishoga na chuki wapi kwenye posti yangu nimeeleezea mambo ya ushoga au chuki.rishoga lenye chuki kali moyoni ona linavyo eneza chuki
Makazi yake hadi sasa ni kwenye nyumba ya Serikali nyumba ya Mkuu wa Mkoa wa ArushaMakazi yake yapo barabara ya kutoka Arusha mjini kuelekea Moshi lakini pia ana bonge la ardhi huko Sakina thamani yake kama bajeti ya mkoa
Mbona ht ye anaishi hotel? Lini ameahama?Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! π
Kwahiyo wanaogombea makwqo ni ukabila pia?Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
Bashite kwenye kucheza na akili za wapumbavu hakika anahitaji kupewa tuzo...Watu wa Arusha huwa wanajiona wao wana akili sana ili this time around bashite katudhihirishia kuwa ni vilaza sana.Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! π
baba yako na wewe wote machokoWewe ndio utakuwa na itikadi za kishoga na chuki wapi kwenye posti yangu nimeeleezea mambo ya ushoga au chuki.
Kuandika ukweli ndio imekuwa nongwa?
Hivi huwa manafiranaga nini na huyo matako bashite hapo kwenye nyumba ya RC Arusha manake si kwa povu ulilotoa
Wewe na ukoo wako wote mtakuwa mashogababa yako na wewe wote machoko
Ndani ya hiyo miezi 6 mteule anaekuja kuchukua nafasi yako anatakiwa akae wapi?An
Ana makazi rasmi njiro. Pia ajira inapokoma unapewa miezi 6 ya kutafuta makazi mengine, hufukuzwi kwenye nyumba kama ng'ombe thus bado yupo ndani ya muda.
Na hilo ni tatizo kubwa sana, Kwamba wananchi Hawana uwezo wa kuchagua kwa uhakika hadi anaetakwa na hao jamaa wa kijani !Tatizo sio wananchi , ccm wakitaka mtu wao apite hakuna kitakacho shindikana
Huku kigamboni tulimkata amekimbilia chuga
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
Njiro yupo tangu lini?An
Ana makazi rasmi njiro. Pia ajira inapokoma unapewa miezi 6 ya kutafuta makazi mengine, hufukuzwi kwenye nyumba kama ng'ombe thus bado yupo ndani ya muda.
Inasikitisha mno hali hiyo na ni dhuruma kubwa machoni pa ka MunguUnataka wafanye nini na uchaguzi ni BANDIA!?
Ikitokea Makonda au yeyote chama kitachoamua awe Mbunge Arusha mjini ndio huyohuyo! Watafanyaje!!
Upinzani umekataliwa, Ccm haitaki uchaguzi tena!! Hakuna mwananchi atakayechagua kiongozi nchi nzima hii! Viongozi wote wanawekwa kutokea MSOGA NA KIZIMKAZI Bhaaas!!!
kweliYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! π
Tangu enzi za MaguNjiro yupo tangu lini?