Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,552
uzuri mgombea hapitishwi na kura anapitishwa na mwenyekitiYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Twambie n sehm gan tumtembeleeMwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Ni last born lakini....Hapiti
Huku kigamboni tulimkata amekimbilia chugaYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
rishoga lenye chuki kali moyoni ona linavyo eneza chukiHuo mji upo sehemu gani? Kwa nini hataki kuhamia kwenye mji wake anang'ang'ania nyumba ya Serikali
Yule mi mtu wa maslai yake binafsiYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
DodomaHuyo mteule ana nyumba kila mkoa ulio na tija ,taja mkoa unaoishi ni kwambie anazo ngapi ,
Noma kweli yaaniYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Kumbe mwamba ni mtu wa meadu? 🤣 You KnowYaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️
Ule wimbo Jaydee wa YAHAYA UNAISHI WAPIIII .......una husikaYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Kwa wizi wa kura nakubali, lakini Kama wazawa wanaopiga kura wakigoma itabakia polisi wawasaidie kuiba maboksi ya kura. 🤔Tatizo sio wananchi , ccm wakitaka mtu wao apite hakuna kitakacho shindikana
Tatizo wataiba hizo kura against nan mkuu?Kwa wizi wa kura nakubali, lakini Kama wazawa wanaopiga kura wakigoma itabakia polisi wawasaidie kuiba maboksi ya kura. 🤔
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDUMwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
WAPA kirefu chake ni nini?Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
Hapo sasaTatizo wataiba hizo kura against nan mkuu?
Duuuh!Huwajui waarusha vizuri.
Kiufupi hawana akili, ni wavivu..kazi yao ni ubabe, uhuni na kugombea mipaka ya viwanja, acha wakuja wawaongoze.