Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,961
- 134,051
Pia wana Chindo Man Ubwa pamoja na Makala JCB
Pia wana Chindo Man Ubwa pamoja na Makala JCB
Hehehe, ngoja nitetee wakazi wa jiji la karaha:
1-magari yanaoshwa, sema wanaishi madimbwini na yanajaa maji kila wakati whether ya mvua ama ya chooni ama ya majirani kufua. Jiji la arusha ni safi na barabara hazina mahandaki. Hawagongwi ovyo manake kila mtu anaendesha na akili timamu.
2-vijana wa arusha wana hela kuliko hata wazee. Kwa hiyo mabinti hawahitaji kujibanannisha na vibabu kama kina reginald mengi ili kula bata town. Lol. (Na wamama wa arusha wanafikishwa wazee wao kwa hiyo hawahitaji kubanana na serengeti boys. Wazee wa arusha wanakula trooper na sio chipsi zege, they work hard to get money na sio ujanja ujanja wa dsm unaosababisha uzembe)
na spark dog.... umenikumbusha mbali sana....
sasa ivi anaitwa baba Brooklyn
Dar harufu mbaya utadhani Watu hushindana kujamb...
Kasoro moja kubwa unakutana na mdada mzuri akicheka meno yanakutu ha ha ha ha ha ha.
sasa ivi anaitwa baba Brooklyn