Mwambie bana........Swai hana noma.......na nimesikitika kuwa alifika Big L.......mahali ambapo ndio sebuleni....... NGULI hujanitendea haki ujue.......
Preta na ndo hapo nashangaa akaingia mpaka club d kimya kimya bila hata taarifa aise
Hivi ni kwa nini lakini amefanya hivyo........?
Mi napenda saaaaaana wenye nyama za Allah
hahaha Long time brother sikupati kwenye voda line umehamia airtel nini?
Nitarudi soon wakuu ila tatizo la mji wenu hauna gym nilienda ya hotel vifaa vibovu niliuliza gym wakaniambia Arusha .
Ipo gym bana.......tunapasha pasha New Arusha pale......sio mbaya........
kingine NGULI wadada wa Arusha hawapendi vya.bure ukimtoa out anachangia bill heheheh karibuni Arushaaa!!
NGULI anajipanga achukue jimbo eti kati ya Moshi au Arusha
Karibu sana Chuga jomba langu NGULI.
Hapa A town makila kitu ni fresh kuanzia hali ya hewa, misosi, huduma zote ni pooouwa.
Dar ni sehemu hatarishi sana kwa maisha ya mwanadamu nimekaa pale ten solid years kwakweli ni hatari sana.
Kuishi Dar-Es-Salaam inahitaji uwe na akili. Usingepaweza.
Niliamua kutumia week end yangu na marafiki Arusha mjini tukitokea Dar, kwa kifupi nimefurahishwa sana na maisha ya wakazi wa Arusha na hizi ndio tofauti zao kubwa na na sisi wa Dar,
1. Wanapenda sana quality na sio quantity- hata ukiangalia magari yao wana ya pim vizuri sana, wanayaosha yana ng'aa huku dar gari lina gongwa mtu anatembelea hata miezi 2 hivyo hivyo tu. Hii inaonyesha hatuthamini mali zetu, magari machafu sana. Min super market zao zinatoa huduma nzuri sana hotel zina excellent customer care na wako proffessional uki compare na hizi za Sinza Majanga.
2. Maadili-tulienda club D kilichotuvutia watoto/teenagers/vijana wanadate wao kwa wao. Hapa Dar ni opposite kabisa unakuta visichana vidogo kabisa viko na ma babu zao na ma baba. Pia ni nadra sana kukuta wazee disco. Watu wa makamo niliona 2 tu. Mtaani watoto wanamadili wanasalimia vizuri wana afya nzuri na wanajishugulisha. Dar mtoto akikusalimia ujue anakuomba hela.
3. Vijana wana jiamini sana kuzungumza kutenda na hata kutembea kikakamavu.
4. Bar maid- wanavaa pete za ndoa na wanavaa kiheshima sana huwezi kulinganisha na Dar ukimwona bar maid kavaa pete ya ndoa nipigie nije nikulipe vinywaji vyote.
Mapungufu,
Wanapenda sana maandamano, nilishuhudia mabishano kidogo tu likaja kundi la vijana wakaandamana kuelekea kijenge kumpiga mwenzao alietoa lugha chafu.
Viroba vimeathiri kwa kiasi fulani afya za vijana wa ungali limited na maeneo mengine.
Si kweli, Dar watu wana akili za mizinga! Mizinga tu. Na hawapendi kujituma kivilee. Nitapambana nisije lea watoto wangu hapa bongo. Ukipita Sinza saa 12 malaya wamejipanga kwenye makazi ya watu je tunafundisha nini watoto wetu?
ukiona kijana ana gari zuri arusha ujue ni jambazi... ungepita na mitaa ya mrina na shiverz ujionee vituko.. arusha ni mji wa shari shari na ujambazi, bangi ,viroba na umalaya ndio penyewe arusha
Si kweli, Dar watu wana akili za mizinga! Mizinga tu. Na hawapendi kujituma kivilee. Nitapambana nisije lea watoto wangu hapa bongo. Ukipita Sinza saa 12 malaya wamejipanga kwenye makazi ya watu je tunafundisha nini watoto wetu?