Arusha I salute you!

Arusha I salute you!

A City Ina House Bebe *inGNako'SVoice
 
Hali hio ya ubaridi ndio niliifurahia sana nilikunywa supu ya utumbo wa Mbuzi na Mtura pale big L balaa chief

Ila mkuu mbaya sana unafika mpaka mitaa ya club d aise kimya kimya wakati ndo uwanja wahome aise
 
Nampango wa kugombea Arusha mjini au Moshi mjini. Kama hii nchi ina upinzania basi waungane woote watutoe CCM madarakani.

CCM msihangaike Arusha na Moshi hamna chenu pale
 
Ila mkuu mbaya sana unafika mpaka mitaa ya club d aise kimya kimya wakati ndo uwanja wahome aise

Sikufahamu mkuu huko mwenyeji wetu alikuwaga Preta basi akaolewa na pota mmoja wa Moshi Machame ana wivu balaa tukija tunakuja kimya kimya kwa maslahi ya uhai wetu.
 
Last edited by a moderator:
Niliamua kutumia week end yangu na marafiki Arusha mjini tukitokea Dar, kwa kifupi nimefurahishwa sana na maisha ya wakazi wa Arusha na hizi ndio tofauti zao kubwa na na sisi wa Dar,

1. Wanapenda sana quality na sio quantity- hata ukiangalia magari yao wana ya pim vizuri sana, wanayaosha yana ng'aa huku dar gari lina gongwa mtu anatembelea hata miezi 2 hivyo hivyo tu. Hii inaonyesha hatuthamini mali zetu, magari machafu sana. Min super market zao zinatoa huduma nzuri sana hotel zina excellent customer care na wako proffessional uki compare na hizi za Sinza Majanga.

2. Maadili-tulienda club D kilichotuvutia watoto/teenagers/vijana wanadate wao kwa wao. Hapa Dar ni opposite kabisa unakuta visichana vidogo kabisa viko na ma babu zao na ma baba. Pia ni nadra sana kukuta wazee disco. Watu wa makamo niliona 2 tu. Mtaani watoto wanamadili wanasalimia vizuri wana afya nzuri na wanajishugulisha. Dar mtoto akikusalimia ujue anakuomba hela.

3. Vijana wana jiamini sana kuzungumza kutenda na hata kutembea kikakamavu.

4. Bar maid- wanavaa pete za ndoa na wanavaa kiheshima sana huwezi kulinganisha na Dar ukimwona bar maid kavaa pete ya ndoa nipigie nije nikulipe vinywaji vyote.

Mapungufu,

Wanapenda sana maandamano, nilishuhudia mabishano kidogo tu likaja kundi la vijana wakaandamana kuelekea kijenge kumpiga mwenzao alietoa lugha chafu.

Viroba vimeathiri kwa kiasi fulani afya za vijana wa ungali limited na maeneo mengine.

Yaani Kamanda Umeongea Vizuri saana ... umesahau hali nzuri ya hewa .. pia hakuba traffic jam kama Dar..
Jiji la kitalii ..
Arusha ni nzuri .... Arusha inapendeza .
Karibu tena .
 
Sikufahamu mkuu huko mwenyeji wetu alikuwaga Preta basi akaolewa na pota mmoja wa Moshi Machame ana wivu balaa tukija tunakuja kimya kimya kwa maslahi ya uhai wetu.

Hana maneno bana we mkuu ukija tutafute aise tupo Arusha hii hii nawala huyo Mmachame asikutishe bana
 
Mi umenikosha hapo kwenye mademu aka totoz, vp ni kali yaani bomba?

Hasa kwa wewe ambaye hujaoa nakushauri twende Arusha tena wana rangi nzuri sana halafu hawajichubui na wana heshima kusema kweli. Naenda tena after 2 weeks pangeni twende.
 
...Jomba Karibu sana huku zaidi ya nchi huru !!!

next time kunalikitu linaitwa milestone pande za sakina halafu hapo big L ulizia Picnic bila kusahau Philips gorofani
bila kusahau city link hotel unapata samaki wa fowl
 
Loo! Nimeogopa kupita Arusha kwani mimi huwa napenda kuvaa kakofia kangu nilikopewa na mbunge wetu 2010 ka kijani na njano.
 
Uzuri wa Dar unatapeliwa ila Arusha unatolewa Roho.
 
Hana maneno bana we mkuu ukija tutafute aise tupo Arusha hii hii nawala huyo Mmachame asikutishe bana

Mwambie bana........Swai hana noma.......na nimesikitika kuwa alifika Big L.......mahali ambapo ndio sebuleni....... NGULI hujanitendea haki ujue.......
 
Last edited by a moderator:
Mwambie bana........Swai hana noma.......na nimesikitika kuwa alifika Big L.......mahali ambapo ndio sebuleni....... NGULI hujanitendea haki ujue.......

Preta na ndo hapo nashangaa akaingia mpaka club d kimya kimya bila hata taarifa aise
 
Last edited by a moderator:
Hasa kwa wewe ambaye hujaoa nakushauri twende Arusha tena wana rangi nzuri sana halafu hawajichubui na wana heshima kusema kweli. Naenda tena after 2 weeks pangeni twende.

Mi napenda saaaaaana wenye nyama za Allah
 
Back
Top Bottom