Pamoja mkuu huwa nafurahi mtu anaposifia kwake bila kuponda kwa mwezake na hilo aliyeanzisha uzi ndilo alilofanya.Huo ndio tunaoita uzalendo. Mara kadhaa nimetembelea mitandao ya wakenya wanasifia vya kwao kwa pamoja bila kujali ukabila wao au ukanda wao linapokuja suala la kufanya comparison na nchi au mji kutoka nchi nyingine.Hapa kwetu kwa mfano ikianzishwa thread ya TANGA NA MOMBASA, au ARUSHA na NAKURU kuna baadhi ya Wa tz wataponda mji au miji hyo ilimradi yeye hatoki mji husika na bila kuangalia ukweli au uhalisiaKama wana copyright na hiyo picture huoni wamaficha nembo wakenya ni wezi kila idara.
on the other hand threader kasema lengo sio mashindano hivyo tunamtii ni kuielezea tu Arusha ilivyo sio kuilinganisha na popote sababu kashatuweke upekee wa Arusha wa kutosha tu.
Hata ukiuona usije ngosha,pambana na watu wa A-town,Wa Daslam hatutaki ligi ama sivyo hiyo michembe uliyokula utatapikaSijauona uo uzi mdau, unaitwaje?
Kuna uzi unasema dar ndio Tanzania kwingine kote kijijini nadhan ndio huo...!
Mmemleta hyu mitindo huru kule kwenye uzi wa Dar sasa anaanza kusumbua, mngemuacha huku hukuNitakutag sasahivi uuone
Hujasoma mpaka mwisho wewe,Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Hadi raha.... You knowAga khan University Campus in Arusha, the project is about to start.. Itakuwa 4 km kutoka Arusha Airport na itagharimu zaidi ya 1 Trillion Shilling za Kitanzania.. Itachukua wanafunzi kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini kwa kuanzia kama moja ya kuimarisha Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Hii University itashindana na Udom kwa ukubwa.. Ndani ya chuo hiki kutakuwa na Shule ya Msingi, Sekondari, Hostels, Hospitali, Hotel kwa ajili ya mazoezi kwa wanafunzi na facilities nyinginezo.. Project kama hizi haziwezi kwenda Iyunga au Sengerema kamwe hahahahaha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata ukiuona usije ngosha,pambana na watu wa A-town,Wa Daslam hatutaki ligi ama sivyo hiyo michembe uliyokula utatapika
Haueleweki kulikoni.....! mbona kama umekuwa kuku anataka kutaga?mitindo huru said: ↑
Sijauona uo uzi mdau, unaitwaje?
Chonde!! chonde!! msimlete huyu ngosha huku kwenye uzi wa Dar
Lini twende kakake?Mkuu hiyo labda ni TGT ndani ya burka, hapo ni ulaya ndani ya tz, kama sio member unatakiwa kulipia sio chini ya 10,000 getini ndipo utinge ndani, na unaweza kujikuta uko mwenyewe ngozi ya kiafrica, pametulia hakuna mfano
Hata leoLini twende kakake?
Chalii anguu umenifanya nicheke mpaka nimetaka kuonekana chizi humu ndani ya basi la mwendokasiHahahaaaa yan Dar mnaringia mwendo kasi na daraja la kigambon zaid ya hapo hakuna jipya.
Juz nlikuwa Dar yan hewa nzito kariakoooo., chakula shidah, population ndo usiseme , sijui uko fery ukipanda hiyo bot mnabanana yan shida tupu. Ukikod tax unaonekana jambazi. Mh. Ndo Mara yangu ya kwanza kupanda bajaji. Nusu nizimie. Yan Dar mh
![]()
Cheee awa watoto ni balaaa ..ivi wanaenda chooni kweli?!
#YechuYechu![]()
![]()
![]()