Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Vipi umeshaacha kulala na maza ako?

Makondakta kakataa kuwafollow kama nyie hvyo nakupuuza tu
Mpuuz Sana.. tatizo fangasi zimewajaa vichwani...na hyo team yako...badala ya kujivunia utaifa wako unaleta issue za ukabila wenu hapa.. ..mapepo kimasai yata wamaliza.. bulal fool!!
 
Mkuu huyu ni hopeless nimeshamsoma atakua ana msongo wa mawazo, nilikua sijui kumbe mtu kusifia kwao ni dhambi, nadhani hiyo pia ingekua strategy nzuri kwani viongozi wetu wangeamka na kuhakikisha kila mkoa unakua na maendeleo, sasa huyu anatema tu pumba hana point zozote
Huyu jamaa tokea kitambo namuonaga na post zake za ubaguzi juu ya watu waishio kaskazini.

Lakini cha ajabu thread za Mwanza, Mbeya au Dar zikiletwa humu hazizungumzii hovyo.. ila ngoja aone sasa thread inayozungumzia kaskazini.. atakuja huyo kiharisha vibayaa sanaa nashindwa kulielewa hili jitu ni la wapi
 
Mpuuz Sana.. tatizo fangasi zimewajaa vichwani...na hyo team yako...badala ya kujivunia utaifa wako unaleta issue za ukabila wenu hapa.. ..mapepo kimasai yata wamaliza.. bulal fool!!
Mbona hujanijibu sasa swali nililokuuliza?

Kama unawashwa sana na hii thread kalia misumari yenye moto ili hamu yako iishe
 
Nilimuuliza huyo mwenzako hivi mume wako akiamua kukusifia kuwa wewe ni mrembo na unavutia alafu mimi ninune kwanini amekusifia, hivi kweli akili yangu itakua inafanya kazi sawasawa? Naomba nioneshe ukabila hapo
We nyani kama huwez ona kundu lako.. nenda kale cha arusha.. na mirungi halafu kesho uamkie kwenye banana..
 
Huyu jamaa tokea kitambo namuonaga na post zake za ubaguzi juu ya watu waishio kaskazini.

Lakini cha ajabu thread za Mwanza, Mbeya au Dar zikiletwa humu hazizungumzii hovyo.. ila ngoja aone sasa thread inayozungumzia kaskazini.. atakuja huyo kiharisha vibayaa sanaa nashindwa kulielewa hili jitu ni la wapi
Ni mpuuzi sana huyu mtu na wala hajui analoliongelea inaonekana ana chuki ya kweli na watu wa Arusha na hiyo ameionesha dhahiri, itakua hatari sana maana anaweza akaiapply chuki ata kwenye maisha ya kawaida pindi atakapokutana na watu wa kaskazini
 
Hao ndo wale Makonda amesema tuwa unfollow hata msimjibu!! Ni REE ka maree wengine... Ni chuki na husda unamsumbua
 
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.

Mbona kasema ipo ndani/karibu au wewe umeelewaje hilo?
 
Wewe zuzu.. acha tuchanganyia habar ..pumbavu acha ukabila
Pilipili usiyoila inakuwashia nini?

Vipi unataka nkutolee mahari wewe pamoja na ma.za ako?
Maana naona mbunye inawaka moto sasa unataka usuguliwe
 
Hao ndo wale Makonda amesema tuwa unfollow hata msimjibu!! Ni REE ka maree wengine... Ni chuki na husda unamsumbua
Ni kweli arif .. ni chuki na wivu ndo unawasumbua hawa makuzi... ngoja niwapotezee
 
Kuna thread inasema"haina ubishi mkoa wa tanga umekamilika kuliko yote Tanzania" hawa pimbi sikuona hata mmoja akienda kucoment ila ikianzishwa thread yoyote ya arusha utaona wanakuja na povu juu eti thread ina ubaguzi..nonsense!
 
Kama hujapata msela wa kukukuna mpk muda huu basi basi tumia rungu la wamasai maana inaonekana unawazimikia kinoma
 
Back
Top Bottom