Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Dah naona hii thread imekua kaa la moto sasa kaeni mkao wa kula nitakua naleta nondo aina hii mara kwa mara hamna raia ambaye amezuiwa kusifia mkoa anaoishi au anaoupenda haters kama vipi jilipueni lakini Arusha forever want it or not.
 
Jakaranda trees...!
1467661392919.jpg
1467661397258.jpg
1467661401507.jpg
1467661405434.jpg
1467661414116.jpg
 
Wewe kweli huna akili sawasawa juzi ulikua bize unapost picha za Dar na Mwanza alafu anasema huna ubaguzi, kama ungekua na akili nzuri ungeweka picha za tz nzima ili uoneshe utaifa unaodai unao... alafu hao wakenya unaosema wamedominate Arusha ni kina nani hao? Ebu nitajie kampuni 10 zinazomilikiwa na wakenya unaowang'ang'ania kuwataja hapa kila post ***** uliyekosa soko wewe
Mtanyooka tu, nyie misukule wa arusha na Ushamba wenu. Mko porini huko kijijini arusha halafu mnatuletea hadithi za kitoto hapa JF
 
Me sio wa kaskazini na ninakukanya acha kuhubiri ubaguzi hii ni mbegu mbaya sana unaipanda ujue hii ni platform kubwa sasa ukiulizwa umebaguliwaje unacho cha kusema nimeishi Arusha lakini sijauona huo ubaguzi kwani Arusha hawaishi wa makabila tofauti?

Ndugu zangu wameoa na kuolewa huko na huo ubaguzi sijauona nakukanya tena stop that nonsense hata Rwanda ilianza hivihivi kwenye platform kama hizi sio vizuri kabisa.

I Tanzania wote wamoja.
We msukule wa arusha hauna lolote, kamkanye boss wako.
hao ndugu zako wa arusha ndio wanaleta ubaguzi, fatilia nyuzi mbalimbali hapa JF wanazoanzisha makusudi kwa kujiona wao ndio bora kuliko watu wa mikoa Tanzania.
Wanapanda kukuza ukanda na ukabila na ndio lengo langu kuingilia nyuzi zao na kuzivuruga na sitoacha hadi watakapoacha huo utoto wao wa ubaguzi.
 
Sasa nikupe homework wewe ngedere.. si umeona picha threader alizozionesha hapa kuelezea uzuri wa jiji la Arusha? je? unakubali ni kweli zinapatikana Arusha? sasa kama wewe ni mzalendo anza kutupia za tz nzima kutoa Dar na Mwanza maana juzi ulishatuonesha, sasa leo endelea na mikoa mingine, ukimaliza kuna swali nitakuuliza kutokana na statements zako eti ARUSHA NI KIJIJINI
Huko arusha ni kijijini tu, nyie misukule mliooza meno hamuwezi elewa chochote.
Kijijini chuga a. k. a kijijini chura
 
Mtanyooka tu, nyie misukule wa arusha na Ushamba wenu. Mko porini huko kijijini arusha halafu mnatuletea hadithi za kitoto hapa JF
SHIDA YAKO NI KUTUCHONGEA KWA MODS ILI THREAD HII IFUNGWE LAKINI HUTOWEZA HIVYO JARIBU NJIA NYINGINE KAMA UKABILA UNAUONA MWENYEWE JIONDOKEE!
 
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Hujamwelewe huyu chalii wa A town kasema zipo ndani ama karibu na A town
 
Huyo jamaa ametoroka mirembe...arusha hapajawahi kuwa na ubaguzi...!
We msukule umerudi tena.
Huko arusha ni kijijini tu, na mtakuja kuchinjana na huo ubaguzi.
Mji mzima mnatembea na masime viunoni inaonesha namna gani bado mko primitive ninyi washamba wa kijijini arusha.
 
Huyu kijana anaweza kudhani ni something funny anasema lakini kina mathara makubwa sana hasa anapokitaja mara kwa mara wapo watu ambao hawajawahi kufika huko Arusha sasa wanapopata hii experience wanatengeneza picture fulani mbaya sana.

Nyerere alipinga sana ubaguzi na hili jambo aliliongelea kwa emphasis kubwa sana na alifanikiwa pakubwa Tanzania kuwa a good example ya non tribalism sasa lazima tukemee kwa herufi kubwa tunapoona mianya kama hii.

Nimeishi Arusha na kukaa na watu wa huko mpaka muda huu tumechanganya damu lakini sijaona hii tabia sio wao tu hii ni kwa makabila yote Tanzania hatuna ubaguzi kabisa wote tunaitana ndugu.

Kusifia mkoa wako sio mbaya tena nimeona wengine wanaosifia hapa Arusha ni wachagga na wapare ambao indigenously sio wenyeji wa Arusha.

Stop that unaehubiri ubaguzi.
Hii hoja ungewaambia hao ndugu zako wa kijijini arusha ingeleta maana, ila kwangu haina maana kabisa.
Huo ubaguzi wanaofanya kwa watanzania wa mikoa mingine na kujiona bora ndio ninachopinga hapa na ndio mana nazichafua nyuzi zao makusudi, na sitoacha kuzichafua nyuzi zao za namna hii.
 
Mkuu huyu ni hopeless nimeshamsoma atakua ana msongo wa mawazo, nilikua sijui kumbe mtu kusifia kwao ni dhambi, nadhani hiyo pia ingekua strategy nzuri kwani viongozi wetu wangeamka na kuhakikisha kila mkoa unakua na maendeleo, sasa huyu anatema tu pumba hana point zozote
Hamna lolote ninyi misukule ya kijijini arusha.
Ubaguzi utawamaliza huko kijijini arusha.
 
Back
Top Bottom