Hapo ni jiji la Arusha na wewe Moringe.kuna ukweli asilimia 80% hiyo 20% umeongeza mbwembwe. hapo kwenye madawati hapana labda uniambie arusha mjini ila kama unaijua ngorongoro vizur, monduli, karatu na longido huku kote janga la madawati na ishu ya maabara lilikuwepo sana tu,
Hahahaa..ni kwere arif!Uyo jamaa ukimuuliza dola anafikiri ni vyombo vya usalama wakati Chugga wamaza wanaouza ndizi wanaifahamu dollars kuliko federal reserve hahahaa
Man mbona zimewekwa kuanzia page ya kwanza japo sio zote Arusha hotels zipo mingi tukiweka zote jf itacollapse [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu wekeni mapicha ya Ngurdoto hotel,Naura spring hotel,selian hospital.Mandela university....
Eroo hiyo ulioongea ni fact kwani wale wamaza wanaefanya biashara ya matunda pale karibu na round about ya kijenge pale opposite na Greek club barabara ya kuingia Barclay's Bank, wale wamaza wanapiga business na wazungu na raia za UN japo wanauza parachichi na ndizi ila pesa inayotumika pale ni dollar hii ni kwa wale ambao hawaijui chuga..Uyo jamaa ukimuuliza dola anafikiri ni vyombo vya usalama wakati Chugga wamaza wanaouza ndizi wanaifahamu dollars kuliko federal reserve hahahaa
That a point. Ikiwa msingi ya Arusha na Tanga ni waingereza lakini misingi ya Mbeya na Mwanza ni Watanzania.Ujamaa ulikua wa kipumbavu sana ukienda uzunguni hiyo mijengo ya 1930 huwezi amini nafikiri waingereza walikua wanataka kiifanya Arusha kama Capetown ushahidi ni ile Greek Club.
. Ona sasa kwa hiyo investments zote Arusha ni za Wachaga... Umelewa sijui banana eti Dom imejegwa na wachaga. Ubila tu.nani amekwambia kuwa kilimanjaro imedumaa?
au unatishika na ile misitu na migomba ukiwa unapita road?jaribu siku kuingia uko migombani ujionee mahekalu ya kufa mtu.
moshi kuna kila aina huduma ya jamii kila kata ina shule 2 za sec,barabara za lami kila kitongoji,zahanati kila kijiji,huduma ya maji kila nyumba nk.
kingine wachaga hatuna desturi ya kuuza ardhi ndio maana unapoona ile misitu na migomba unaona kupo kama porini lakini sivyo.
arusha imejengwa na wachaga,dodoma imejengwa na wachaga popote walipo wachaga fahamu kuwa lazima maendeleo yawepo
Yaaa! very sweet!PROUDLY BORN IN ARUSHA
HOME SWEET HOME!!!!
TGT pale ni laana, hakuna kama hiyo nadhani EAST AFRICA nzima.Mkuu kuna hotel moja ipo huko mitaa ya kisongo,mbele ya Burka(nafikiri opposite na uwanja wa ndege),kuna hotel moja jina lake limenitoka hata timu ya simba waliwahi kwenda kuweka kambi kwa wiki mbili hivi.Nasikia imetulia laana..Ukifika ni kama mbele mazima,yaani ni fulu! Tanzania mzima hamna!Hebu fanya mishe uweke picha zake hapa watu wapagawe...
Mkuu umenichekesha kweli, Dar ni takataka kuishi kwa mtu alie wahi ishi Arusha, pale ni pa kwenda kwenye ishu na kuondoka fasta, kibajaji kinarukaruka kama chura na jinsi walivto na barabara mbovu ndio balaa, mavi kila kona chemba zinatema balaa, kariakoo chemba zimetapika laikini mijitu ya huko imekaa pembeni inakula matunda ya kukatiwa na wanaume wenzao, Dar ni pa ki soro sana arifu.Hahahaaaa yan Dar mnaringia mwendo kasi na daraja la kigambon zaid ya hapo hakuna jipya.
Juz nlikuwa Dar yan hewa nzito kariakoooo., chakula shidah, population ndo usiseme , sijui uko fery ukipanda hiyo bot mnabanana yan shida tupu. Ukikod tax unaonekana jambazi. Mh. Ndo Mara yangu ya kwanza kupanda bajaji. Nusu nizimie. Yan Dar mh
Amen! Mungu akuabriki na unakaribishwa sna Arusha kuna project kibao karibu wekeza maisha si popote bana#maishaniArusha.Dah! A Town napapenda sana,nikiona hivi nataka hata kulia kwa huzuni ya kutengana napo na nina kumbuka mengi sana ya kitambo,God bless A City.
Acha kutoka povu wewe, ngoja nikusahihishe, Arusha hakuna mahoteli ya kigeni hakuna ubaguzi huo kila anaeweza kulipa anaingia hotelini na kujinafsi, Arusha hakuna hela ya kigeni hata muuza ndizi na shanga anamiliki dola, sio kwenu mtu akilipwa dola anakimbia kuripoti ametapeliwa analipwa shilingi feki.Unajifanya unanijua sana mimi ni mtanzania, sio kama wewe msukule.
Sijajua babu zenu wanawalisha midude gani huko arusha hadi mnakuwa na mawazo ya kitumwa hivyo.
Mna mawazo ya kibaguzi kama wanga huko arusha.
Vijana wadogo mnamawazo ya kizee na kuanza kusimuliana story za kitoto kuhusu maghorofa na mahotel ya kigeni mnajiona wajanja kumbe ni pumba tupu.
Haahaah! mkuu punguza sindano utawaua watu wa Dar na jiji la mawe, kwao mtoto wa maskini kusoma shule yenye mwalimu mzungu msomi kutoka nje ni ndoto, wakichukua wakenya kwenye shule zao na watoto watakao soma hapo ni wamatajiri tu, lakini ST. JUDE Arusha elimu ni bure, tena kuanzia darasa la tano mtoto alala bweni kabisa kila kitu bureeee! Anacheza na kila kitu kinachotakiwa kuwepo kwenye SHULE, tena shule za mbele. We are blessed!Bado tunaendelea na hii shule haadhimu
Achana nae huyo bwege, meno meno wakati kusafisha jino moja tu sasa hivi ni shilingi 8,000/=. Na kwa habari njema sasa hivi watoto wanakuwa na meno safi baada ya teknolojia kuwa kubwa, wakati Arusha tunajivunia meno yetu maana ni utambulisho wa jiji letu yeye anaona laana, na kwa taarifa yake hata huduma ingekuwa bure bado kuna wanaojivunia meno yao.Hapana Mkuu,hakika Arusha kuna mademu wazuri tena wengi sana,kuhusu meno hiyo haina shida,kama una pesa ni rahisi kusaficha hayo meno siku hizi coz technology sasa hivi iko mbali.