Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Una uhakika. Walahi! nyingine mbwembwe majina sio ishu!
 
It's all about awareness.. Usafi wa akili na mazingira.. Vipi huko kwenu Mafinga hahahahahahahaha, huko ni Mitindo huru tu sio

SDC11556.JPG
 
hahahahaha mkuu hivo vitu Ileje na Rungwe havipo.. Lazima watu povu liwatoke...

Mwambie aweke Dodoma, Mbeya au Mwanza kama kuna nyumba kama hizo hahahahahahahahaaa

Killi Golf Estate mikandamizo inaendelea...

IMG-20130906-00957-640x360.jpg

IMG_6716-300x167.jpg
IMG_6746-300x167.jpg



Sakina kwa Mafogo

0241-640x360.jpg

0193-300x167.jpg
0231-300x167.jpg


Its not about fancy, its about nature...

IMG_0124-640x360.jpg

Aerial-view-of-Kiranyi-Hill-300x167.jpg
0013-300x167.jpg

Hhahahaa aise hao watu ndio wamenipandisha morii eti kuna mmoja amesema tena kwa ukakamavu Iringa na Mbeya inaichapa raba Chugga kidogo nilazwe...

Road to Heaven...

14188286337711_zpsrkmvb0tz.jpg
Vijana wa chuga city a. k. a chura city.
Mna kazi huko kijijini arusha.
Muache na kukeketana huko maporini arusha.
 
Hatutaki ligi soma uelewe...amesema zipo ndani ama karibu na mji wa arusha sasa Serengeti inaangukia upande wa karibu na mji wa arusha
Mwambie amuulize MKAPA! kwa nini alihamisha simanijiro akapeleka Manyara wakati ipo karibu na moshono!hekaheka!
 
hehehehehehehe Ileje wanakokaa kwenye nyumba za tembe?? Hahahahahahaaa

It's all about awareness.. Usafi wa akili na mazingira.. Vipi huko kwenu Mafinga hahahahahahahaha, huko ni Mitindo huru tu sio

SDC11556.JPG
Unajifanya unanijua sana mimi ni mtanzania, sio kama wewe msukule.
Sijajua babu zenu wanawalisha midude gani huko arusha hadi mnakuwa na mawazo ya kitumwa hivyo.
Mna mawazo ya kibaguzi kama wanga huko arusha.
Vijana wadogo mnamawazo ya kizee na kuanza kusimuliana story za kitoto kuhusu maghorofa na mahotel ya kigeni mnajiona wajanja kumbe ni pumba tupu.
 
Tunatwanga kotekote na sasa tupo upande wa Schools

The School of St. Jude, shule ambayo kila mtu chugga anaota usiku na mchana mtoto wake akasome hapo, shule maticha ni kutoka Tanzania, US, Canada, France, German, SA, na e.t.c hapa wanapiga kuanzia baby class mpaka mbele wanatoa elimu bora hata UDSM hawana na kama kidi wako akiwa vizuri upstairs atakua anachezea mauniversity ya US na Canada na huko kwingineko kwa wenzetu.

uliza ada sasa ni BURE.

stjude_web_1.jpg


All%20buses%20but%20Rotary%20and%20Small%20Red.JPG




photo0jpg.jpg


a-rm-04.jpg

waacheni watoto wadogo waje kwangu...

the-school-of-st-jude.jpg

mabilionea wa Arusha tumemwaga ajira mpaka huko mbele..

June+22+029.JPG
 
kwenye namba tisa hapo..katika kuchangia pato la taifa umedanganya mzee.....mkoa unaofuatia kwa kuchangia pato la Taifa ni Mwanza then Mbeya na mingine ila Arusha kwenye top 5 haipo..ila top 10 ipo....Rejea ripot ya banki kuu mwaka 2015 kuonesha mikoa inayochangia zaidi pato la Taifa
Kweli!Sikatai kuna uzi TRA!Sio kunywa pombe au kutaja lower manhattttan!
 
Dah! A Town napapenda sana,nikiona hivi nataka hata kulia kwa huzuni ya kutengana napo na nina kumbuka mengi sana ya kitambo,God bless A City.
Amen Mkuu.. It is already blessed..

Karibu tena, ukipita kalikizo usisite kuja kubadilisha hali ya hewa huku.. Kama ulitoka hapa 2008 sasahivi utakuta ni vingi sana vimebadilika..
 
Amen Mkuu.. It is already blessed..

Karibu tena, ukipita kalikizo usisite kuja kubadilisha hali ya hewa huku.. Kama ulitoka hapa 2008 sasahivi utakuta ni vingi sana vimebadilika..
Nishapita mara kadhaa, sema sasa hivi sio kuishi kama nilivyokua naishi miaka ile, kwa sasa tangu 2014 sijakanyaga nasikia kuna highway inajengwa kuanzia Sakina hadi Tengeru.
 
Vipi ileje kuna shule kama hizi?? Wawekee na ISM, St. Co na Braeburn
Naam,ya kwangu ni Braeburn Kisongo nilikua naipenda sana ile shule kwani nilishafanyaga nao kazi ya kusupply vitabu pale kwa Bernard,ooh! wakati umeenda sana .
 
Back
Top Bottom