Arusha hali si shwari kabisa

Arusha hali si shwari kabisa

Mnakosea xana.hapo chama kinaingiaje ? au ndio uozo wa ccm ?.akili za miaka sitini na usher unataka kutuletea sisi.ufinyu was fikra .if u don't have something to talk u better shut ure mouth
 
Vijana wa Arusha walipokubali kunyweshwa Viroba na Mikate na Lema ndipo walipokosea!!!
 
Mtu ukikulia mitaa migumu lazima uwe ngirima!
Lazima ujifunze elimu ya mtaani.
Kuhusu visu arusha ni kitambo tu hiyo kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
 
Watu wafanye ujinga wao arusha na kwingineko mnasingizia chama.na hizo ajali za kila ck zinazogharimu maisha ya Ndugu zetu mpaka Leo kwa mwaka huu zaidi ya milioni moja ni ccm wanafanya ehee ? Hao madereva ni ccm ? C nauliza mkuu ? Of course ni ccm.barabara hazina viwango,mashimo kila mahali.lami imelala upande na inateleza.amkeni ndg zangu fikra mbovu zitatumaliza
 
Arushaaa eshimaa tuu ndo inatakiwaa ukijidai mbabe unajua karate utakula kisu ya koo ufie mbali. Ukijidai na kibastolaa utawahiwa na wenye SMG na ukitishia smg utaviziwaa tuu na we upewe kituako hakunaga kuoneana huku kwetuu tuliozoeaa wala hata hatuon shidaa tena sahv afadhali aman inazid kueneaa. Kipindi cha miaka kama mitano au sita nyumaaa ndo ilikuwa balaaaa
Khaa!! basi kuna mijinga mingi sana huko
 
Nasikitikaga sana naposikia hayo ni matukio ya kuwaida kupigana visu, japo ndio ukweli na uhalisia wa maisha ya Arusha ila inabidi watu wabadilike!

Nilishapoteza washkaji zangu wawili kwa kupigwa beto achilia mbali wenye ngeu za visu! Hali ni tete na ukiwa ni Mtu wa kuji mix mix kona mbaya kukutana na hizo shurba ni kawaida! Kuna movement wameanzisha wasanii wa Chuga kuzuia mauaji na kupigana visu huko ila naona haijafanikiwaa bado,

Ile dhana kwamba beto ikishatoka mfukoni hairudi bila kujeruhi bado iko vichwani mwa vijana wengi! Na hata wakikuwa wakubwa wakiwa vijana wa zamani ndio hivyo tena wanaleta ubabe wa bastola!

Kwa sasa huwa napaogopa Chuga though ndio maskani ila nikiwe pande zile nakuwaga kama mgeni tu manake lolote laweza kutokea!

Sent from JamiiForums
 
Chadema hao na yote kukosa kazi za kufanya na kuishi bila kumjua baba yako mzazi alafu imagine wazee wao wakipata nchi si balaa hili. Membe oyeeeeh
 
Nimazaliwa arusha na kukulia arusha huo ndio utaratibu toka siku nyingi. Mwanaume eti ni lazima uwe na alama ya ujasiri(kovu Iiwe la kisu jiwe ngumi panga....). Mi yalinishinda makazi yangu nimehamishia mkoa mwingine.

kwahiyo ulihama arusha kwasababu hiyo tu au kuna nyingine mkuu?
 
Vijana wa Arusha walipokubali kunyweshwa Viroba na Mikate na Lema ndipo walipokosea!!!

Lema kawa mbunge wa chuga baada ya yule mama...na kipindi cha yule mmama chuga ndo ilkuwa laana kinoma..kidogo kwa sasa mitaa kama mianzi,na matejoo saa moja moja utakatisha lakini 2006 kurudi nyuma...kusikia pipe kwa jirani daily ilikuwa kawaida aseeh...so sioni uhusiano wa lema na maisha ya ara...maana kina fred j na watu kama father nel masuala ya bisu ilikuwa kabla ya lema...ila kama unamtaja kwa kujifurahisha endelea babuu
 
Arusha ndio mkoa unaoongoza vijana kunywa viroba wana akili za ajabu ajabu tu ukimchoma mwenzako kisu ndio unaonekana mwanaume .. Nakumbuka nilipoteza marafik zangu 3 wakipigwa visu, nashukuru mzee alijitahidi sana kunitoa ktk makundi mabaya na uvutaji bangi.... Wadogo zangu /marafik zangu wa mianzini, matejoo unga badilikeni sio sifa hizo
 
Kuna watu wanaandika vitu bila kufikiria eti arusha si salama kwa sababu watu wachache wametofautiana kwani likifanyika tukio sanawari ndo linachafua hali nzima ya jiji la arusha?
 
Ahhahah!Katika miji ambayo inatakiwa uwe makini sana ukiishi basi hapa Arusha,watu wako tayari muda wote kwa lolote lile!sio wanawake wala watoto,wanafunzi ndio kabisaa!!
Poleni sana wageni.

Mkuu hayo maisha yapo huko ushenzini labda ar ingekua n hiyo shida hizi taasisi z ICTR,EAC,aghakan foundation n jumuia y madola zisingeletwa hapa arusha ipo peace tu.hata SA napo ni chuga nini mana huko ndio wa2 wanachomana visu n mapanga kukatana.
Mtu unakaa sehemu mda wote gongo n bangi inauzwa unategemea wasichomane visu wao mda wote wanacheza kamari wakirusha visu ndio suluhu
 
Nimazaliwa arusha na kukulia arusha huo ndio utaratibu toka siku nyingi. Mwanaume eti ni lazima uwe na alama ya ujasiri(kovu Iiwe la kisu jiwe ngumi panga....). Mi yalinishinda makazi yangu nimehamishia mkoa mwingine.
Kamanda unaogopa ngeu...
 
Mkuu hayo maisha yapo huko ushenzini labda ar ingekua n hiyo shida hizi taasisi z ICTR,EAC,aghakan foundation n jumuia y madola zisingeletwa hapa arusha ipo peace tu.hata SA napo ni chuga nini mana huko ndio wa2 wanachomana visu n mapanga kukatana.
Mtu unakaa sehemu mda wote gongo n bangi inauzwa unategemea wasichomane visu wao mda wote wanacheza kamari wakirusha visu ndio suluhu

amani sasa hivi chuga ipo lakini bado watu wanaishi na hasira zao,kesi za kujeruhi kibao hapa town
 
Back
Top Bottom