Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Sidhan vitendo kama hivyo vinaleta heshima katika jamii au kwamba uonekane wewe jasiri sana na unajiamin. Na bado mtu anayefanya hivyo hana dira yoyote ya maisha,ni bora kupambana kutafuta maisha na kupambana kwenye mambo ya ugomvi ambayo hayana masilahi yoyote