Arusha hali si shwari kabisa

Arusha hali si shwari kabisa

Kwa iyo morombo ni jimbo? sometimes mtu akiwa marilanya anaweza badilishiwa jina......so ata wewe Usishangae kuitwa hilo jina

arusha haijawahi kua na mbunge mwanamke.
 
Mwezi uliopita nilikuwa Chuga. Nikaingia club moja maarufu, nipo kaunta namwona jamaa amebeba mkoba wa demu, eti amemnunulia pombe akimwachia mkoba atamkimbia.

Nikamuuliza muhudumu, hivi tabia kama hizo bado zipo tu karne hii!!
 
Ila kwa wenyeji tushazoea pole kwa wageni.......ila watu wa Arusha tuna upendo sana ni vile tuu watu hawaelewi
 
Usemayo ni kwel bt arusha kumekaa kitalii, panapo majaliwa nategemea jenga kwenye plot yangu huko my holiday house, nilikuwa huko Dec last year and I enjoyed a lot
 
Back
Top Bottom