Kwa uelewa wangu (I stand corrected of course), kujenga ukumbi wa kimataifa Dar es Salaam hakujaua ukumbi wa Arusha. Dar es Salaam inashughuli za kibiashara nyingi zaidi, hasa za kimataifa, kuliko mikoa mingine ya Tanzania. Arusha inashughuli zaidi za kiutalii na "kidiplomasia" kuliko mikoa mingi. Dodoma ni Mkoa Mkuu wa Kisiasa. Tungeweza kuendeleza hizi brands vizuri, hakuna shida ya kuwa na kumbi za kimataifa katika mikoa yote mitatu. Tukumbuke kabla ya JNICC kuna kumbi za watu binafsi ambazo zilikuwa zinatumika kwa shughuli za kitaifa. Ndio maana kuzihamishia kwenye ukumbi wa JNICC kumeathiri sana kumbi za watu binafsi.Swali langu ni kwamba kulikuwa na haja gani kujenga Ukumbi mwingine wa Mikutano ya Kimataifa Dar wakati tayari tunao Arusha AICC tena unajulikana Kimataifa na umeshabeba Mikutano mingi ya Kimataifa ? Yaani logic ya kiuchumi iko wapi ? Kwa nini tuiletee msihindani AICC ndani ya Tanzania ?
Msee wakati tunawambia muache maandamano ya kijinga jinga na kujitapa kuwa arusha haito tawalika tuliwaonya lakini mkatuonya washamba sasa hivi mnalia liaTumechelewa sana, Another one one one one one
Kwa uelewa wangu (I stand corrected of course), kujenga ukumbi wa kimataifa Dar es Salaam hakujaua ukumbi wa Arusha. Dar es Salaam inashughuli za kibiashara nyingi zaidi, hasa za kimataifa, kuliko mikoa mingine ya Tanzania. Arusha inashughuli zaidi za kiutalii na "kidiplomasia" kuliko mikoa mingi. Dodoma ni Mkoa Mkuu wa Kisiasa. Tungeweza kuendeleza hizi brands vizuri, hakuna shida ya kuwa na kumbi za kimataifa katika mikoa yote mitatu. Tukumbuke kabla ya JNICC kuna kumbi za watu binafsi ambazo zilikuwa zinatumika kwa shughuli za kitaifa. Ndio maana kuzihamishia kwenye ukumbi wa JNICC kumeathiri sana kumbi za watu binafsi.
Hata mikutano iliyokuwa ikifanyika Arusha ingepungua, iwe JNICC ilikuwepo au la. Washindani wa AICC walikuwepo tayari katika sekta binafsi. Ukitaka kuelewa kuwa hospitality industry imedorora Arusha, angalia sekta binafsi inavyopata tabu. AICC, haiko peke yake kwenye pigo hilo.
Halafu, nilikuwa Arusha 2018 kufanya mkutano AICC, na nilisikitika kuona maintance inayofanyika ni ndogo sana. Jengo linahitaji ukarabati na upgrade kama linataka kuvutia mikutano ya ngazi za juu tena. Halafu, matokeo ya COVID-19 yanamaanisha kuwa mikutano na mihadhara mingi ya kimataifa itahamia mitandaoni, sijui kama huu ukumbi umejiandaa kwa hili...
Haya wewe mwerevu umelifanyia nini taifa lako?Wewe jamaa umezaliwa ukiwa mjinga sana
Acha ujinga, Huko ambako kuna CCM miaka yote wana nini cha maana? Unataka uniambie Dodoma au Dar wana moundo mbinu bora na First classs?Kilichoponza Arusha ni siasa chafu,hata miundo mbinu ya Arusha ni duni huku eti ikiwa jiji la utalii
Wabunge ndo wanaleta Mikutano? Hiyo Dar zaidi ya ule mkutano wa SADC kuna mkutano gani wa Kimataifa umefanyika huko?Arusha ilikua na mbunge upumbavu sana.
Alikua na siasa za kijinga sana. Harakati muda wote wakati yeye ndiye mbunge aliyekua madarakani .
Lema ana siasa za kijinga sana. Ana siasa za fitina ndani na nje ya chama chake jambo wakati alikua wazi kuwa madiwani wake walikua na uwezo mkubwa kuliko yeye hali iliyokuwa inampa woga ndani na nje!!
Chadema ijipange upya ije na sura nyingine sio zile za vurugu na maandamano yasiyo na tija.
Swali langu ni kwamba kulikuwa na haja gani kujenga Ukumbi mwingine wa Mikutano ya Kimataifa Dar wakati tayari tunao Arusha AICC tena unajulikana Kimataifa na umeshabeba Mikutano mingi ya Kimataifa ? Yaani logic ya kiuchumi iko wapi ? Kwa nini tuiletee msihindani AICC ndani ya Tanzania ?
Mambo machache nayoyajua nikufahamishe mkuu
JNICC imejengwa na serikali kwa kushirikiana na China, kama ushawahi kutembelea mule utaona kuna mahala mpk maneno ya kichina china yapo.
I think ulikuwa ni uamuzi wa kidiplomasia zaidi na sio wazo la kibiashara, lakini pia ili-make sense kujengwa hapo ulipo kwa sababu Dar licha ya kuwa mji mashuhuri kibiashara na balozi za nchi zote zipo hapo haikuwa na ukumbi 5 star wa mikutano.
AICC ndo wanao-manage na kurun JNICC. Kwa kifupi, AICC ni taasisi chini ya Wizaya ya Mambo ya Nje so hizi kumbi zote mbili Arusha na Dar ziko chini ya management moja.
Kudorora kwa AICC imechangiwa na issues kadhaa mtambuka ikiwemo, moja ni kuhafifia kwa nyota ya TZ kwenye diplomasia za kimataifa kumepunguza movements za diplomatic gatherings pande hiyo, pili wapangaji wakubwa wa AICC kwa miaka ya hivi karibuni shughuli zao ni kama zinafikia tamati ikiwemo zile mahakama za genocide etc, tatu covid-19 imezorotesha shughuli za kukutana kwenye conferences watu mambo wanafanyia online meetings.
Tangu vyama hivyo vimeanzishwa lini uliwaona wakifanya mkutano Arusha mahali ambapo ndipo palipo na ngome kubwa kabisa ya Upinzani hasa Chadema.Wabunge ndo wanaleta Mikutano? Hiyo Dar zaidi ya ule mkutano wa SADC kuna mkutano gani wa Kimataifa umefanyika huko?
Ni lini Upinzani ulipinga mkutano kufanyika Arusha?
Corona pia imepunguza wageniAICC ni kielelezo tu cha jinsi sector ya hotel ilivyoyumba,Na sector zingine
Huoni Dodoma sasa hivi inabustiwa kinguvu kujengwa maofisi ya wizara na kila kitu kufanyika huko.Acha ujinga, Huko ambako kuna CCM miaka yote wana nini cha maana? Unataka uniambie Dodoma au Dar wana moundo mbinu bora na First classs?
Sijaelewa mantiki ya hoja yako kujikita kwenye ukumbi pekee, unamaanisha hatukupaswa kujenga ukumbi wowote Nchi nzima sababu upo wa AICC?Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwa nini waliamua kujenga huu ukumbi wa Mikutano Dar kwangu mimi ni fumbo, unawezaje kujenga uchumi wa Tanzania wakati unabomoa uliopo ? Sasa hivi Arusha Hoteli zinafungwa hakuna kitu, fikiria tu kwa mfano kwa kawaida Mkutano mkubwa kama wa sadc ungefanyikia Arusha City lkn ulifanyikia Dar sababu ya ukumbi wa Nyerere.
Dar tayari ni mji tajiri Tanzania hivyo hakuna haja tena ya kuipora Miji mingine chanzo cha mapato au mnataka Tanzania nzima wahamie Dar au vipi ? Nilisafiri ktk Dar -Arusha inasikitsha sana, baada ya kukata kona ya Segera -Moshi-Arusha tu ni kama unaenda kijijini hakuna magari kabisa na ni mpaka Arusha, zamani hii barabara ilikuwa imejaa magari.
Bill Clinton aliita Geneva ya Afrika alipofika Arusha City leo hii hakuna kitu , ...
AICC enzi za uhai wake, RIP ukumbi wetu.
View attachment 1647563
View attachment 1647554
Chato pia ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna Tatizo kabisa wakipelekewa maendeleo.Arusha isubiri kwanza, tuko busy kuendeleza Chato.