IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,820
Labda wanataka mji uwe kama Lindi ili kuwakomoa akina fulani... Hawapendi tena kusikia habari za Northern circuitsHatujui kujenga uchumi, huo ndiyo ukweli ni lazima tujifunze, AICC ilikuwa inasaidia sana uchumi wa huo Mji hata kuufanya tu ujulikane nje ya Tanzania kama Mikutano mikubwa ingefaynikia huko, fikiria enzi za Mandela kama msuluhishi wa Rwanda/Burundi Mzee Mkapa (RIP) alikuwa anafanyia Mikutano AICC Arusha City, Mikutano mikubwa ikienda Arusha Uwanja wa ndege wa KIA unatumika unajaa ndege na wageni hii ingesaidia sana uchumi wa huko, sasa kila kitu wamehamishia Dar, Dar ambayo tayari ina vyanzo vya kutosha vya mapato, ...