Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

Ukumbi wa Nyerere ulijengwa enzi za JK
Usishangae sana, weka akiba ya mshangao.

Kwasababu muda si mrefu utajengwa ukumbi mwingine wa mikutano "MAGUFULI CONFERENCE" kule chato.

Halafu itakubidi ushangae tena. Jamaa angweza hata kuibeba bandari kama alivyobeba wanyama basi angeipeleka huko.
 
Labda Gambo atalizungumzia hili Bungeni maana yule mwizi wa magari Lema alikuwa hata hajui anafanya nini
 
Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwa nini waliamua kujenga huu ukumbi wa Mikutano Dar kwangu mimi ni fumbo, unawezaje kujenga uchumi wa Tanzania wakati unabomoa uliopo ? Sasa hivi Arusha Hoteli zinafungwa hakuna kitu, fikiria tu kwa mfano kwa kawaida Mkutano mkubwa kama wa sadc ungefanyikia Arusha City lkn ulifanyikia Dar sababu ya ukumbi wa Nyerere.

Dar tayari ni mji tajiri Tanzania hivyo hakuna haja tena ya kuipora Miji mingine chanzo cha mapato au mnataka Tanzania nzima wahamie Dar au vipi ? Nilisafiri ktk Dar -Arusha inasikitsha sana, baada ya kukata kona ya Segera -Moshi-Arusha tu ni kama unaenda kijijini hakuna magari kabisa na ni mpaka Arusha, zamani hii barabara ilikuwa imejaa magari.

Bill Clinton aliita Geneva ya Afrika alipofika Arusha City leo hii hakuna kitu , ...

AICC enzi za uhai wake, RIP ukumbi wetu.

View attachment 1647563

View attachment 1647554

I quote you “Nilisafiri ktk Dar -Arusha inasikitsha sana, baada ya kukata kona ya Segera -Moshi-Arusha tu ni kama unaenda kijijini hakuna magari kabisa na ni mpaka Arusha, zamani hii barabara ilikuwa imejaa magari”

Comment; Ni either wewe ni mwehu au mshamba wa kutupwa kwa haya maneno!
 
Arusha imeangushwa na Uongozi wake siyo ukumbi wa mikutano; kwani ilifikia Arusha ikawa kama jiji lisilokuwa na amani. Kama uongozi ukiwa makini kuhakikisha kuwa jiji lina amani halafu na kufanya jitihada kubwa za promotion, mambo yatanyooka tu. Kulipokuwa kuna wageni wa nje, ndipo maandamao na vurugu zilikuwa zinafanyika na kusababisha polisi waingilie katika na hivyo kuandoa amani.

Inatakiwa sasa uongozi wa Mkoa, jiji, AICC, na TANAPA washirikiane kuweka package za kuvutia mikutano; kwa mfano, kutoa complimentary tickets za kutembelea vivutio vya utalii kwa wanaohudhuria mikutano hiyo, kupunguza kodi za hoteli kusudi gharama za malazi kwa wageni zisiwe kubwa sana, na vitu vingine kama hivyo. Sehemu nyingi nilizowahi kuhudhuria mikutano huwa kuna kitu complimentary tunapata ambacho hulipiwa na jumuia ya wafanyabiashara wa eneo lile.
 
Mbona ukumbi upo vizuri tu, nilikuwepo hapo kwenye kongamano la kitaifa la UVCCM mwanzoni mwa mwaka huu.

Arusha ilirudishwa nyuma na hao CHADEMA ndio maana wananchi wamechoka matapeli wa kisiasa na kwenda na CCM. Subiri ndani ya miaka hii mitano jinsi itakavyobadilika.
Umeilewa Mada ya Kada mwenzio.

Ndiyo tatizo lenu kuweka Siasa kwenye Mambo ya msingi.
 
Siasa za Lema yule aliyekimbilia Canada ndio zimeifikisha Arusha hapo ilipo,

Lema alikuwa anawadanganya Wana Arusha kuandamana kumbe hawajui wanaharibu uchumi wa mji wao.

Baada ya kuonekana Arusha hapakaliki tena wakaamua kupeleka mikutano Dar kusikokuwa na vurugu na aibu za maandamano yasiyo na tija.

Hapo AICC walikuwa wanafanyia pia mikutano ya TLS chama cha wanasheria Tanganyika, akaja Lisu na gundu lake , kakiharibu chama, kwa kukigeuza kijiwe cha siasa zake za maji taka, TLS imefutwa , hakuna Mikutano tena, ya Arusha iliyokuwa ikifanyika Mara Mbili kwa mwaka na Arusha ilikuwa ikihost si chini ya wanasheria elfu mbili kwa siku tano.

Ndio mtaona madhara ya siasa za kitoto walizokuwa wakifanya Chadema, haya Lema ndio huyo kakimbilia Canada na Lisu yupo Ubelgiji, wanaopata madhara ni wengine.
🤣🤣🤣🤣

Umenichekesha sana! Nikushukuru tu Mkuu kwa kuniongezea maisha.

Ila huo uchambuzi wako..."not worth unpacking"!
 
Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwa nini waliamua kujenga huu ukumbi wa Mikutano Dar kwangu mimi ni fumbo, unawezaje kujenga uchumi wa Tanzania wakati unabomoa uliopo ? Sasa hivi Arusha Hoteli zinafungwa hakuna kitu, fikiria tu kwa mfano kwa kawaida Mkutano mkubwa kama wa sadc ungefanyikia Arusha City lkn ulifanyikia Dar sababu ya ukumbi wa Nyerere.

Dar tayari ni mji tajiri Tanzania hivyo hakuna haja tena ya kuipora Miji mingine chanzo cha mapato au mnataka Tanzania nzima wahamie Dar au vipi ? Nilisafiri ktk Dar -Arusha inasikitsha sana, baada ya kukata kona ya Segera -Moshi-Arusha tu ni kama unaenda kijijini hakuna magari kabisa na ni mpaka Arusha, zamani hii barabara ilikuwa imejaa magari.

Bill Clinton aliita Geneva ya Afrika alipofika Arusha City leo hii hakuna kitu , ...

AICC enzi za uhai wake, RIP ukumbi wetu.

View attachment 1647563

View attachment 1647554
Kwa hiyo unamaana hoteli zilijengwa kwa ajili ya mikutano hiyo tu? Kwamba isipokuwepo hoteli zinafungwa au ni vip? Maana hata majirani hoteli zinafungwa shida nini hapo? Je ni mikutano au???
 
Maana ya Arusha kuitwa "Geneva ya Tanzania" ni kutokana na jiografia yake, pamoja na shughuli zilizo/zinazofanyika jijini hapo. Jiji la Arusha linabeba Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Mashariki, Makao Makuu na Ofisi za mashirika mbali mbali ya kimataifa (zikiwemo AfCPHR, UNMICT). Kutokana na mahusiano ya kimataifa na nafasi Tanzania iliyokuwa nayo kwenye siasa za ukanda (geopolitics) wa Africa Mashariki, tuliweza kuvutia mikutano na shughuli nyingi jijini Arusha.

Vilevile, shughuli za kibiashara na uwekezaji zilifanyika Arusha kwa wingi, kwasababu wageni waliweza kujumuisha kazi na matembezi kwenye mbuga maarufu zilizopo Arusha na Manyara, au kupanda Kilimanjaro.

Sasa hivi majirani zetu Rwanda wamecharukia fursa na ombwe lilioachwa na Tanzania kwenye mahusiano ya kimataifa, baada ya kuamua "kujifungia tujenge kwetu".

Hali itakuwa mbaya zaidi kutokana na madhara ya COVID-19 hasa kwenye biashara, utalii na mikutano ya kimataifa. Tanzania sio kisiwa, tusisahau hilo.

Tusipojifunza kuwa proactive na kusoma upepo unavyovuma tutakuwa tunabaki kwenye mataa kama haya.
 
Swali langu ni kwamba kulikuwa na haja gani kujenga Ukumbi mwingine wa Mikutano ya Kimataifa Dar wakati tayari tunao Arusha AICC tena unajulikana Kimataifa na umeshabeba Mikutano mingi ya Kimataifa ? Yaani logic ya kiuchumi iko wapi ? Kwa nini tuiletee msihindani AICC ndani ya Tanzania ?
 
It will comes to sounds later its a hub by position shifting it by any means is imposible or you may shift and get loss by future [mobutu seseseko and project shifting kinshasa]
 
Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwa nini waliamua kujenga huu ukumbi wa Mikutano Dar kwangu mimi ni fumbo, unawezaje kujenga uchumi wa Tanzania wakati unabomoa uliopo ? Sasa hivi Arusha Hoteli zinafungwa hakuna kitu, fikiria tu kwa mfano kwa kawaida Mkutano mkubwa kama wa sadc ungefanyikia Arusha City lkn ulifanyikia Dar sababu ya ukumbi wa Nyerere.

Dar tayari ni mji tajiri Tanzania hivyo hakuna haja tena ya kuipora Miji mingine chanzo cha mapato au mnataka Tanzania nzima wahamie Dar au vipi ? Nilisafiri ktk Dar -Arusha inasikitsha sana, baada ya kukata kona ya Segera -Moshi-Arusha tu ni kama unaenda kijijini hakuna magari kabisa na ni mpaka Arusha, zamani hii barabara ilikuwa imejaa magari.

Bill Clinton aliita Geneva ya Afrika alipofika Arusha City leo hii hakuna kitu , ...

AICC enzi za uhai wake, RIP ukumbi wetu.

View attachment 1647563

View attachment 1647554
Kujengwa kwa ukumbi Dar,haimaniishi kumbi zingine zife,
Uwezi kuzuia watu wasijenge viwanda,kwa sababu vitafanana na viwanda vya mikoa mingine,
Jiulize General tyre ya Arusha ipo wapi?
Mi nashauri hizi kumbi zijengwe nyingi tu,Mwanza,Dodoma,Mbeya.
Sukari ipo Kagera sugar,Kilombelo,Kwenye cement,tupo Tanga cement,Mbeya cement,Dangote Mtwara,na Wazo hill Dar.
Kufa au kukosa mapato kwa AICC,kusiusishwe na Nyerere conference Dar,kuzuia Nyerere conference,isifsnye kazi,Ili kuiokoa AICC,ni akili mfu,zisizo na tija kabisa.
 
Napingana na wewe AICC haukuwa ukumbi wa mtu binafsi bali ni wa Serikali hivyo huwezi kulinganisha na kiwanda, sasa hivi hakuna mkutano wowote wa muhimu wa Kimataifa unaofanyikia Arusha AICC kwa sababu ya Ukumbi wa Nyererer Dar, sasa kulikuwa na haja gani kwa Serikali hiyo hiyo kujenga ukumbi mwingine kama tayari tunao Arusha ? Kama ulihitaji maboresho hizo fedha walizotumia kujengea Dar wangewekeza AICC kuufanya hata uwe wa kisasa zaidi, lkn sasa hivi ukumbi wa AICC umekufa sikumbuki ni lini mara ya mwisho kulikuwa na Mkutano wowote mkubwa hapo na moja kati ya sababu ni ukumbi mpya wa Dar, kwangu mimi Serikali haikufikiria sana hapa, ...
 
Back
Top Bottom