Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders Mnaionaje?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,735
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro International Convention Centre(MK-ICC) jijini Arusha.

Ikumbukwe Hadi ya ujenzi wa Ukumbi Mkubwa zaidi wa Mikutano Tanzania imekuwepo Kwa zaidi ya miaka 18 bila kutekelezwa lakini awamu hii ya 6 chini ya Rais mbunifu na fundi wa kusaka pesa inaenda kuanza Ujenzi rasmi Kwa gharama ya takribani Bilioni 300 na tayari Imetoa renders za jinsi Ukumbi utakuwa.

Hii inakuja wakati Tanzania inaibuka kuwa Kituo Kikuu Cha Utalii wa mikutano ambapo Sasa hivi Iko top 5 ya Nchi zinazoandaa mikutano Mingi Barani Afrika.

Bwana Mafuru ambae ameteuliwa kuwa Boss Mpya amesema anaondoka AICC akiiacha ikiwa imeanza kupata faidia tofauti na Miaka ya nyumba ambapo Kituo kilikuwa kinakula hasara Kwa kukosa biashara na mikutano.

View: https://www.instagram.com/p/C5Db80SolNR/?igsh=MTcyMjRiY3Q5bTI0cg==

My Take
Hongera sana Rais Samia, maneno kidogo matendo zaidi.

Ila wadau Mnaionaje hii render machoni? Mbona kama haivutii? Imefanana na majengo ya kale yaliyopo China.

Screenshot_20240327-190114.jpg


Pia soma Utalii wa Mikutano na Makongamano(MICE): Tanzania yapanda hadi namba 5 Africa kutoka namba 15
 
Kwa pesa zote alizokopa maza ndio anajenga ukumbi mbaya hivo?Kwa Nini wasijenge design nzuri ya kuendana na majengo ya kiasili kama ya wamasai?hamuwaoni wenzenu Rwanda walivyojenga kumbi nzuri pale kigali?
 
Kwa pesa zote alizokopa maza ndio anajenga ukumbi mbaya hivo?Kwa Nini wasijenge design nzuri ya kuendana na majengo ya kiasili kama ya wamasai?hamuwaoni wenzenu Rwanda walivyojenga kumbi nzuri pale kigali?
Acha ufala wewe
 
Arusha is Africa
Hata mjaze ddom majengo marefu Kia's gani haitakah ifikie Arusha city
Dodoma haitakaa ifikie Arusha Kwa kitu gani hasa?

Ukumbi wa Mikutano wa Samia Complex Convention Centre Chamwino Ikulu Dodoma 👇👇
Screenshot_20240327-054053.jpg
Screenshot_20240327-054108.jpg
Screenshot_20240327-053907.jpg
Screenshot_20240327-053925.jpg
Screenshot_20240327-053943.jpg
Screenshot_20240327-054013.jpg
 
Unajengwa Arusha sehemu gani watu wajenge appartment km chache kutoka hapo?
 
Mkutano ipi hiyo mkuu na inafanyika wapi hadi tuingie top 5?

Tanzania ina ukumbi gani wa maana hadi iwe kwenye top 5 ya kuandaa mikutano?
 
Back
Top Bottom